Ngooo ngoooo Ngooo JF.

Apr 18, 2011
20
8
Wana JF wote ninayofuraha kubwa sana leo hii kuachana na u guests wa JF na kuwa member kamili. Ni matumaini yangu nitajifunza mengi na kutoa changamoto nyingi kwa yale ninayo ya fahamu.
Pia msisite kunijuza kwa yale nitayoingia chaka kutokana na uchanga wangu. Ni imani yangu tupo pamoja.
 
Karibu sana Mzee wa Upekuzi, ID yako bana tamu kama JF. Jione huru na nikujuze tu kuwa umechukua uamuzi sahii kuachana na u guest! Nikupe angalizo mzee mwenzangu JF inabidi uwe na subira kidogo vinginevyo utapasua keyboard yako. Humu ndani JK wanamwita ****** je kama wewe ni JK ungejisiake? Huo ni mfano lakini yapo mengi kama hayo na mazuri ya kidaku toka jikoni mengi tu. Karibu sana.
 
Karibu sana mzee wa upekuzi... ila ni vizuri ukitujuza ulichokuja kupekua humu jamvini kwani sie humu tushazoea michango tu!!!!:spy:
 
Back
Top Bottom