Kwa nyakati za sasa uzinifu si kitu cha ajabu tena.
Wahusika wanadai kufaidi uasherati kuliko tendo la ndoa. Kumekuwepo kuchokana kwa wawili walio katika ndoa na kufanya mmojawapo ajaribu kutafuta kuridhishwa nje ya ndoa. Jamii yahitaji kuelimishwa juu ya kuridhishana katika ndoa kwani itafikia mahali ndoa itakuwa ni ya jina tuu.
Kinachoshangaza ni kuwa wahusika hubadilika baada ya kufunga ndoa au baada ya makubaliano ya kuoana.Nakaribisha elimu juu ya hili.