Ng'ombe Matatani!

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
17,230
32,630
Hatimaye yule Ngo'ombe mwenye tabia ya kula mazao ya Wakulima ameshikishwa adabu huko Sumbawanga baada ya waliopoteza mazao yao kuamua kumshughulikia kwa kumweka ng'ombe huyo juu ya paa la mwenye ng'ombe.....dah sijui mwenye ng'ombe alimshushaje!

Sumbawanga.jpg
 
Chezea wafipa ww na hapo wamemsamehe sana niliona ng'ombe kapigwa busha kama la 50kg
 
Uzi huu ulitakiwa uwe jokes, This is not true, tuthibitishieni, tuwaogope wenzetu!! Hii kama ni kweli, basi ni mpya.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom