Ng'ombe kuongezeka kilo mbili na nusu kwa siku!

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,770
2,544
Katika taarifa ya habari itv, mdau mmoja wa mifugo kasema kuna lishe ambayo ngombe huongezeka kilo 2 unusu kwa siku. Hawa ni ng'ombe wa nyama. Haya si madhara kwa mtumiaji jamani? Kwa miezi 6 anakuwa na kilo 400. Hii si sawa
 
kilo mbili na nusu ni 12,500 ina maana huyu jamaa akiwa na ng'ombe kumi kwa siku inaingia 125,000 nimemuona hata mimi
 
Kwa lishe ya kawaida haiwezekani ngombe kuongezeka kwa siku moja kilo mbili na unusu labda kama hiyo lishe itakuwa imechanganywa na dawa Zenye hormone . Na ni hatari sana kwa nyama hizo kwa mwili wa mwanadamu hasa unapomula ukanyonya hadi mifupa unaweza pata magonjwa mengi sana kama cancer , imnunocompromise due to toxin ambayo inaresult kwenye infection (bacteria and fungi infection) .
 
ndio wataalamu wetu wanatuambia live bila chenga. Nilimsikia tena vizuri akisema ni madume. Sasa haya madume yanapanda majike, yanazaa, tunapata maziwa, na mwisho wa siku tunakula nyama yake. Genetically modified food everywhere
 
Kwa kuongeza primamary proteins kama lycin, methionine kwenye chakula cha ziada kama mapumba inawezekana.

Nothing strange. Kuna hizo proteins zinauzwa madukani na nyingine ni Ayuredic kutoka India.

Ukila nyama wewe utakuwa hudhuriki ila kama amepewa steroids ambazo hata waganja vyuma wanatumia sana kukuza misuli.
 
Katika taarifa ya habari itv, mdau mmoja wa mifugo kasema kuna lishe ambayo ngombe huongezeka kilo 2 unusu kwa siku. Hawa ni ng'ombe wa nyama. Haya si madhara kwa mtumiaji jamani? Kwa miezi 6 anakuwa na kilo 400. Hii si sawa[HIZO DAWA ZINAPATIKANA WAPI?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom