Ngoma

bwanaharusi

Member
Jun 5, 2011
47
18
Hivi utaratibu wa kupima ngoma unakuwaje?

Tunaambiwa kabla hatujaoooa inabidi kupima sasa protokali inasemaje?

hospitali zipi poa

na je utaratibu wa kuchakachua (kama sababu zipo) ukoje?
 
ngoma zipi unazozizungumzia?.............................na kwa nini wataka kuchakachua ukweli?
 
Hivi utaratibu wa kupima ngoma unakuwaje?

Tunaambiwa kabla hatujaoooa inabidi kupima sasa protokali inasemaje?

hospitali zipi poa

na je utaratibu wa kuchakachua (kama sababu zipo) ukoje?

Hakuna muda maalum wa kupima maambukizi ya VVU (Ngoma), si lazima ukitaka kuoa tu...wakati wowote ni bora kujifahamu afya yako ili mradi tu uwe ni mshiriki wa ule mchezo mtaam! Kwa wanandoa watarajiwa ni muhimu, kwa kuchela kuwa mlikuwa hamfanyi au mlikuwa mnafanya kwa kinga (condom) na sasa mkioana basi waweza kuwa ndio mwanzo wa kufanya au mwanzo wa kufanya bila kinga...kwa hiyo ni vizuri kujua afya zenu!

Kuna vituo viingi sana katika kila kona ya mji, pia zahanati, vituo vya afya na hospitali wanapotoa huduma hii. Mpaka sasa, hakuna ngazi ya kituo cha kutolea huduma ya fya ambapo hawatoi huduma hii ya usahuri nasaha na kupima VVU!

Hongera kwa kutambua umuhimu wa kupima, na tafadhali usiache!
 
Hivi utaratibu wa kupima ngoma unakuwaje?

Tunaambiwa kabla hatujaoooa inabidi kupima sasa protokali inasemaje?

hospitali zipi poa

na je utaratibu wa kuchakachua (kama sababu zipo) ukoje?

Mhh unauliza kupima au kuchakuchua sasa? Mbona bibiharusi anakazi..
 
Mhh unauliza kupima au kuchakuchua sasa? Mbona bibiharusi anakazi..

Vyote

kwa sababu naskia upande wa bi harusi wanachagua hospitalia zao kama 4 hivi

Muhimbili

Amref

Hindu Mandal

Aga Khan

sasa kucheki wanakuja jamaa kama wa 2 hivi wa bi harusi

sasa upande wa bwana harusi hamna noma kuna uwezekano wa kutafuta like minded ambao hawana noma

sasa kwenye issue ya uchakachuaji...kuna ma wili

la kwanza kupita kote huko na kutembeza noti

la pili sijajua ni nini so tumebaki na option 1

au kama ikiwezekana kama mtu unaweza kupima anonymously bila kutoa details in advance then unapitisha noti kote huko then ikija mambo ya kwenda kupima bas...kumbe wewe zamaaani ushaanza kula ma kokteil yako

au sijui mnasemaje?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom