Ngoma ni droooooooooo.........kweli lakini au.....

Wakati mwingine nasi twachangia wakati unamnyima mtu haki za kimsingi kwa madai ya kuwa leo nimechoka huku mwenzio akuhitaji.......au kuna jambo lile hakulifanya utakavyo sasa malipizi wakati wake ni huu..............ataipata...............mwishowe mwandani wako naye ameamua kujitutumua kwa kujitafutia uhuru bandia na hivyo kuishia kutafuta majibu mteremko hata kule ambako hakustahili...........

Ruta watu wanaonyimana kwa makusudi, wanaokomoana kwa kutowaelewa wenzao iwapo kuna sababu ya msingi kuomba mapumziko ndio hao waliojisalimisha. Usitegemee mtu aliyejisalimisha kwako ajali sana hisia zako.
 
mbona waniogofesha hivyo..........sasa utawatofautishaje makundi hayo mawili?
 
unamwacha na shombo lake>>>

waswahili husema........mtoto akinyilia mkono utaukata au utaenda kuuosha tu?

Nionavyo hutaukata bali utaenda kuosha na kuhakikisha umetakata kabisa.........
 
mbona waniogofesha hivyo..........sasa utawatofautishaje makundi hayo mawili?

Sio nakuogopesha Ruta ila ukweli ndio huo. Wengi wanaolalamika kwamba wana hayo matatizo lazima mmoja wao awe haridhiki na mwenzake.

Inabidi ujitahidi kuwa makini tu, msome mtu kama unavyosoma kitabu unapotaka kujifunza kitu kweli na sio ili ukariri.
 
wengi ni wanafiki machoni ukiwepo wanaficha makucha baada ya kuanza safari nao huja kukuparua nayo...............halafu utashangaa hivi huyu nilifikiri ninamjua kumbe yuko vingine.......tayari hayo ni maumivu makali anakuachia.........lol
 
Inabidi sasa na wewe uwe mjanja.

Tatizo lenu nyie nanyi hua hamsubiri hata muwe marafiki na mabinti, mnakimbilia tu kutangaza 'ohhh nakupenda' mara 'nakutaka'. Kwa style hiyo unadhani hatoficha makucha ili akukamate vizuri? Niliwahi kuanzisha thread kuhusu haya mambo. . . ukitaka mtu awe muwazi kwako kuwa rafiki yake kwanza, mambo ya kutongozana yaje baadae sana bila kutarajiwa.
 
hili ni kweli ukiona hata urafiki una mushkeli basi ujue mengineyo yatakuwa mabaya zaidi............mimi formula yangu ni kuwa kama tumeshindwa kuelewana kwenye mambo madogo basi makubwa itakuwa pata shika au mshike-mshike...........huamua kuishia wakati mwuingine hata siagi......................nikitarajia kubadilika kwa gia kutatoa ujumbe murua na unaojitosheleza.........
 
Hiyo nayo nzuri, ukishamsoma mtu anareact/act vipi kuhusu mambo madogo madogo unapata urahisi wa kujua kama mtawezana au la.
 
ukiona anasitasita na anashikwa na kigugumizi mashaka yabidi yaanze kulindima kuwa pengine she is not the one.................ingaaje wakati mwingine ni butwaa mwenzio kapigwa kwani hakutegemea kuwa naye unamwona wamo........wengine tatizo hawajiamini lakini roho zao hazina mushkeli wowote ule............kama ulivyosema jawabu ni kumsoma mtu wako polepole na kwa undani mwenyewe................mwisho majibu yatakuja kama King David alivyonena........Psalms 49: 2 "My mouth shall speak wisdom, and the meditation of my heart shall give understanding."
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom