Ngoma ni droooooooooo.........kweli lakini au.....

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Siamini usemi wa "dawa ya moto ni moto" hutumika kila mahali................mfano wandani wako kakuletea shombo na mambo yote yamegeuka bokoboko......utafanya malipizi ya dawa ya moto ni moto au utatafuta muarobaini mbadala wa kukomesha shombo mlangoni kwako.......................kama mbadala upi?

Niliokutana nao jana wadai...............mambo haya dawa ya moto ni moto...................nawe mletee shombo mlangoni ili ngoma iwe drooooooooooooooo......................
 
Hata siku moja huwezi kuzima moto kwa moto, labda kama nia yako ni kukomoa. Na maisha ya kukomoana sio maisha ya furaha, mtu akikuwashia moto mwagia maji alafu uende na njia zako, au mwache na moto wake.
 
mwagia maji naona ni jibu mwafaka hapo.....................nenda zako yategemea uwekezaji wenu umefikia kiwango gani.........the quality of emotional investment.........kama kuna watoto maamuzi huanza kuwa kizungumkuti..............................kwa sababu ni kuwa "it is those we leave behind that suffers most..........................."

wakati mwingine ni kuulizana.......kulikoni.......................jamaa zangu jana walinigunia sana nilipotoa haka ka-ushauri ka bweerere.......wakidai tena kwa kauli moja mambo haya hayana majibizano bali mambo yote ni action speaks louder than words................nilinyong'onyea sana na nikapigwa na bumbuwazi na kujishika tama..........
 
Hao hao unaosema unaweza ukabaki kwaajili yao ndio ambao wanaweza wakaathirika zaidi kwa wewe kuendeleza hayo mawasiliano zaidi ya ambavyo ingekua kama ungeachana nayo.

If you are not happy, you won't be able to make someone else happy. . . that's my belief and I live by it.
 
Hao hao unaosema unaweza ukabaki kwaajili yao ndio ambao wanaweza wakaathirika zaidi kwa wewe kuendeleza hayo mawasiliano zaidi ya ambavyo ingekua kama ungeachana nayo.

If you are not happy, you won't be able to make someone else happy. . . that's my belief and I live by it
.

huo ni ukweli.....................lakini dunia tuliyomo...............walio na furaha wahesabika wengi wetu ni bora liende tu...........
 
Kwasababu hawahangaiki kuitafuta, na wengine wanadanganyika kwamba pesa ndio itawapa furaha, ndoa ndio itawapa furaha bila kujali anaeingia nae na vitu vingine visivyo na maana sana.
 
BIG POINT..........lakini mwisho wa yote lazima mwanadamu ajisalimishe kwa mmoja wetu pamoja na mapungufu mengi tuliyonayo.....jamii ya sasa inajivunia vurugu mechi lakini mwisho wa yote majuto huwa ni mjukuu........
 
Well mtu akijisalimisha kwako kuwa tayari kuvumilia hata tamaa zake ambazo anaweza akadhibiti ila hadhibiti.
 
Hata siku moja huwezi kuzima moto kwa moto, labda kama nia yako ni kukomoa. Na maisha ya kukomoana sio maisha ya furaha, mtu akikuwashia moto mwagia maji alafu uende na njia zako, au mwache na moto wake.

Dada yangu chunguza hapo kwenye bolded and red. Ningejua in advance kama una knowledge ya ecology ningejaribu ku-argue nawe otherwise, from the ecological point of view, you are very wrong
 
Well mtu akijisalimisha kwako kuwa tayari kuvumilia hata tamaa zake ambazo anaweza akadhibiti ila hadhibiti.

Wakati mwingine nasi twachangia wakati unamnyima mtu haki za kimsingi kwa madai ya kuwa leo nimechoka huku mwenzio akuhitaji.......au kuna jambo lile hakulifanya utakavyo sasa malipizi wakati wake ni huu..............ataipata...............mwishowe mwandani wako naye ameamua kujitutumua kwa kujitafutia uhuru bandia na hivyo kuishia kutafuta majibu mteremko hata kule ambako hakustahili...........
 
Dada yangu chunguza hapo kwenye bolded and red. Ningejua in advance kama una knowledge ya ecology ningejaribu ku-argue nawe otherwise, from the ecological point of view, you are very wrong

fortunately for her............this is not ecology...................it is emotional conundrums.............
 
Dada yangu chunguza hapo kwenye bolded and red. Ningejua in advance kama una knowledge ya ecology ningejaribu ku-argue nawe otherwise, from the ecological point of view, you are very wrong
Is the thread about ecology?I think NOT.
 
Back
Top Bottom