Ngoma inogile: namuombea JK afya njema!

Mchekechoni

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
279
19
Walisema wahenga 'ngoma inogile' na 'asiye na mwana aeleke jiwe'. Ooo wadiba eee, mwanangu leo kapika kisamvu! Mambo ya ukwereni hayo, wewe utayaweza!. Sasa wadau wenzangu wanajf ishu iko hivi: kuna umuhimu sana wa kutakiana kila la heri na afya njema hapa jf, na mimi kwa kuanzia namuwish good health JK, kwani kuna ubaya jamani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom