Ngoma Droo "Wema, Diamond"

Another "weda" (wema&diamond) thread! I think its time we all give them a break jamani!
 
Huku ni sawa na kupiga chabo dirishani, waacheni kwani wapo wengi tu hata mtaani kwetu wanaowazidi hawa kwa mbaali!
Wema and Diamond.jpg
 
What is so special abt this, Mbona kawaida 2. Au kuna m2 anawatafutia ujiko. Let them do whatever they want, Ukiona vipi na ww ukaombe.
 
Na ambaye hajawahi kufikiria au kufanya hiyo kitu ambayo hao wanafanya awe anedelee kuchangia mada hii. Mimi naona hayo ni mambo binafsi ambayo kila mtu yuko huru kufanya au kutofanya.
 
Mbona mnawasema bure tu watu wa watu au kwa kuwa wanajulikana,amini nawaambia wako watu wanajifanya kuponda hapa ila wao wakipanga ma-ex wa boyfriend/girlfriend foleni yake inaweza kutoka goli hadi goli(uwanja wa soka)
 
wamejitahidi sana kujiheshimu mbona namba ndogo sana hiyo ukilinganisha na umaarufu walionao katika jamii.
 
Back
Top Bottom