ngoja nchungulie kunani

Baby wangu mbona sasa utakuwa unitendei haki sijawai kulala na mwingine zaidi yako! Leo una nipa adhabu!
Wangu mbona na kusifia kila siku wangu na we unajua hilo na unajua kabisa hakuna zaidi yako!

Ni samehe sijazoe kulala bila wewe baby wangu!

Hii comment itanisaidia such as equipment apparatus to train my students ktk darasa la love! Niliwahi waambia mapenzi hayana fundi, bingwa wala leader !
So far here my student they learn how advocate being tolerated !
Wakili mzima , anavyowajibishwa ! Meanwhile ukimkuta kotini mkali ka'pilipili kichaa !
Chezeiya malabricant weye!
 
Hapo sasa.
Nikimuangalia akiwa kortini mkali ka pilipili,
ila akifika home ni full kuosha masufuria.
Chezea 'urithi wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom