ngoja nchungulie kunani

slumdweller

Member
Aug 1, 2011
46
5
jamani kwema lkn,nimetokea utambulisho kuna jamaa akanambia nije na huku,so ndo nimekuja kucheck nn kinaendelea humu.asanten bandugu!!!!
 
thanx all,vp mbona ruttashobolwa umecheka hivyo?Preta c kauliza na anapaswa kujibiwa au...
 
yeahhhh this is warm welcome,nimeipenda hii hahaahaa

Mkuu slumdweller karibu.
Humu CC kuna sifa hizi.

1. Hatuna stress na maisha ya mtandaoni yaani 'Le Publicale' wala kule majumbani.

2. Kuna ada ya kiingilio.
Na mimi ndie mpokeaji wa pesa,ni PM ujue jinsi ya kutuma.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu slumdweller karibu.
Humu CC kuna sifa hizi.

1. Hatuna stress na maisha ya mtandaoni yaani 'Le Publicale' wala kule majumbani.

2. Kuna ada ya kiingilio.
Na mimi ndie mpokeaji wa pesa,ni PM ujue jinsi ya kutuma.

Ukishapokea tukutane kesho maana mi ndo mweka hazina.
 
Last edited by a moderator:
Baby wangu mbona sasa utakuwa unitendei haki sijawai kulala na mwingine zaidi yako! Leo una nipa adhabu!
Wangu mbona na kusifia kila siku wangu na we unajua hilo na unajua kabisa hakuna zaidi yako!

Ni samehe sijazoe kulala bila wewe baby wangu!

ruttashobolwa unafanya nini?
Tangu tufunge ndoa hujawah kunisifia kama unavyomsifia Preta.
Haya leo nenda kalale huko huko kwa Preta.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom