ngo ngo!!

mwanya

Member
Feb 7, 2011
30
1
hi wana JF, feel great to join you ktk hili jukwaa. stil new lkn natmaini mtafaidi mchango wangu from now!
 
nisubiri kidogo hapo mlangoni niwaulize wenyeji,bado sijakupata i.e join date 7.2.2011 ,status desplayed is today
 
we mwenyewe mgeni halafu unamzingua mgeni mwenzio au mmetokea kumoja we ukawai kufika nini?anyway karibuni ila kuna mtu humu anaitwa malaria sugu au jeykey wa ukweli ni marufuku kujibizana nae.
 
nimemzidi speed tu,ila tumetoka wote pamoja mkuu
 
Karibu Sana Mkuu...,

Kutokana na ID za watu kutokuwa zinajulikana vizuri nimeonelea niwe ninauliza wewe ni kaka au dada...?

Nisije nikakosea siku moja nikakuita ndivyo sivyo....
 
Ha ha haaaaa, aisee karibu sana mwanya... duu usishangae kucheka mwanya jina lako limenikumbusha mbali ati!!
 
Babu lao heshima iwe kwako,
naona umekumbuka mbali................tujuze mabli wapi huko na umekumbuka nini?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom