ngo ngo ngo

GodfreyTajiri

JF-Expert Member
Sep 26, 2010
986
655
hodiii! wananiita GodfreyTajiri. nami nimeamua kujiunga
na jukwaa hili makini na maarufu. natanguliza shukurani
kwa kunipokea vyema
 
Karibu gtajiri.
Halafu preta ni something yangu....usimzoee sana.

asante Bigirita kwa ukaribisho na onyo :)
usikonde sitamzoe sana Preta manake hiyo mashine
kwenye avatar yako ni mkwala tosha. ila nitamsalimia tu :smile-big:
 
habari za hapa ni nzuri sana....karibu kijiji cha mahusiano,mapenzi na urafiki.....hutajuta

Preta nitasogelea huko kijiji cha mahusiano, mapennzi na urafiki
kama ulivyonishauri. naona nishapigwa mkwala na Bigirita :)
 
Back
Top Bottom