Ngo, ngo, ngo, ngo, ngo, ngo,ngo,ngo

Duhh!! haya mkuu fuata nyuki ule asali na karibu sana JF

Young master,
mkuu naogopa kupata manundu coz kwa babu kuna mizinga ya nyuki ila kurina sitaki kwenda coz nisha tolewaga manundu kwenye shingo baada ya kwenda kurina asali nikiwa nimevaa gunboot &trouser wakati wenzangu wote walikuwa wamevaa bukta. hivyo bac nyuki walipanda bila kuwasikia na kustuka walipo nipying kwenye shingo.
Ila kwenye hili jamvi young teihnerein ni kupata mafanikio.
 
teh teh teh,nilikuwa natania.Ngoja watafika wataalam wa kupm wakina mpatanishi,erickb52,kongosho,mrimi,na wale warembo nimewasahau ma-name

khahah,khahah,khahah,khahah,khahah,khahah.
Nilishapanga plan za kuuwapa umasikini kupitia pm,
Katika hao ulio wataja mmoja wapo ndo aliye nikaribisha ambaye ni Erickb52 kumbe ana masters ya ku pm so nahic nitapewa P.h.d.
 
Hahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaahh
am back . Wakubwa mpoooooo/
ni baada ya kuw msaliti kwa kipindi kirefu sasa nimerudi.

Nafurahia kukumilisha mwaka mmoja na siku mbili.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom