Ngereje safarini canada

Byendangwero

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
871
56
Kuna tetesi kuwa waziri wa nishati na madini yuko Canada kwa ziara ya kikazi, ambako pamoja na mambo mengine anatarajiwa kukutana na washiriki muimu katika sakata la Dowans, kuweka sawa mambo fulani fulani, kwa lengo la kusawazisha njia kwaajili ya malipo kwa kampuni hiyo. Itakumbukwa hata kabla ya Dowans kuridhi mkataba huo kutoka kwa Richmond, waziri aliyekuwa na dhamana ya madini na nishati, Nadhir karamagi alifanya ziara kama hiyo hiyo kuweka mambo sawa. Habari hii naitoa kama tetesi kama kuna mtu anazo habari zaidi atujuze.
 
Back
Top Bottom