Ngereja: Kilio cha messenger mungu kajibu!!!

Tango73

JF-Expert Member
Dec 14, 2008
2,128
1,225
Si watanzania tunakumbuka takriban miaka miwili imepita tangia Njereja alipomfukuzisha kazi messenge wa kibanda cha ITM. Alimjibu kinyama na kumuuliza"unajua unaongea na nani hapa? Halafu kwa dhalau akwapigia simu mabosi wa messenge na kulalamika kuwa kijana hana nidhamu! Kijana kafukuzwa kazi na kubakia akilia mitaani kwa kutotendewa haki akiwa kazini. Leo mungu anajibu kwa ngereja. Hii skando ya ruhswa ni an act of god to have ngereja walk out of office with dignity! Wamarekani husema, things goes around the way the came around! Yaani muwosha huoshwa! Ngereja hapo huchomoi!
 
kaka punguza papara unapoandika. Tuliza akili, mbona unakuwa km magamba na weye?
 
kaka punguza papara unapoandika. Tuliza akili, mbona unakuwa km magamba na weye?
 
Tupunguze jazba watanganyika, we can agree to disagree kwa post zetu, personal attack zitatufanya tu ignore the real cause of the problem
 
Back
Top Bottom