Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,591
- 1,599
- Thread starter
- #41
nani alikuambia watu wa tanesco wanalip bill za umeme? wale wanapata free electricity. unakuta mtu amewekewa unit 16000 za umeme wa luku, unategema aongelee suala la ongeeko akiwa amenuna? alikuwa anachekelea kuliko kawaida...Eti nini??? Ama kweli hili ni janga la taifa kama tuna watu wenye akili kama hizi.........hao jamaa wa tanesco ni lazima watakuwa kaitaka moja kati ya haya matau (i)Wanaiba umeme (ii)Wanaishi kwenye nyumba za serikali wasizolipia umeme (iii)Wanapewa vocha unit za bure kila mwezi.
Maana mtu anayelipa hela zake kununua umeme asingeweza kusema haya, na inawezekana aliyasema hayo huku akiwa na tabasamu