Zitto ni mnafiki anauliza maswali ya kujikosha.
Wote waweza kuwa ndani ya boti moja.
kumbe na ZITTO amekuwa mtu wa kuongelea pembeni
huyu mtoto ufisadi utamumaliza
Stay tuned
kumbe na ZITTO amekuwa mtu wa kuongelea pembeni
huyu mtoto ufisadi utamumaliza
Stay tuned
Zitto ni mnafiki anauliza maswali ya kujikosha.
Wote waweza kuwa ndani ya boti moja.
Majibu yanayohusu takwimu huweza kutolea majibu hapo kwa hapo bila ya kuwa na takwimu sahihi akifanya hivyo ataishia kuambiwa kuwa analidanganya Bunge
...fellow Tanzanians, the situation is becoming worse, kubali au kataa! Many of us know how Ngeleja 'won' the ministerial post and what is now doing, definitely no wonder!
My take:
Je badala ya kujihangaisha, kuna haja ya kufanye search/utafiti mpya kujua ni nani ameilaani nchi hii!!!??
Kwani zimetakiwa takwimu au source ya hayo malipo?.........binafsi sielewi kwa nini tuNAwalipa hawa IPTL capacity charges,megawati wanazo supply TANESCO halafu tunawanunulia haya mafuta?.......ni kama kule TRL serikali iliuza hisa 51% halafu ikawa inalipa mishahara ya wafanyakazi,kukodi injini na mabehewa......hawa viongozi(vitongozi) vipi?
Sio lazima kwa waziri kuja kila kitu kinavchoendelea chini ya wizara yake, kwani Zitto hajui hela zinatoka wapi?..kwanini hajui?....same reason should apply to Ngeleja.
Ndio uwezo wa serikali yetu na jinsi inavyoendeshwa imenisikitisha kuona waziri Ngeleja amekosa majibu ya source ya pesa wanazotumia kama wizara kununulia mafuta mazito ya mitambo ya IPTL na huyu ndiye waziri mwenye dhamana ya wizara hyo sasa sijui watz tukapate wapi majibu ya maswali mepesi kama haya.
" kwa nini Ngeleja usikubali kuwa wewe ni pompopo na huwezi uongozi?"