BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 764
Yaani spika kuzuia swali la lini mgao wa umeme utakwisha mimi naona ni ujuha. Hilo ni swali la msingi kabisa lakini mtu analitolea nje. Anyway tutafika tu hata kama ni kwa kuchelewa.
No Speaker alikuwa sahihi kwasababu Ngeleja anatakiwa kutoa tamko rasmi kwa Taifa juu ya swala la umeme. Hivyo ataongea huwenda labda leo. Ila this guy is boring, mimi huwa nakasirikaga pale anaposema siui kihansi mg40, songas mg120 mara mtera sijui mg300 mara sijui majenereta mapya - all fluff fluff talks any one could talk.