Jamani mwenye clip ya mchanange huo atuwekee tuliokuwa mbali na TV tuone nahamu ya kucheka
Mh. Mdee ndoa yako na mh.Yule wa arumeru ni lini? Tunaisubiri kwa hamu. Halafu dr. Slaa ndoa na mchumba wako bado, maana tunataka tutakapokukabidhi nchi ya kaskazini mwaka 2015 uwe umeoa sio utangetange barabarani. Naomba mwenyewe majibu ajibu Kama hakuna basi wajibu wenyewe watakapoingia humu jf. Viva cdm
Nimeipenda sana bajeti ya baba riz, bajeti ya inji hii. hebu tuambie mwana wa legelege, kutoka deni la taifa la 5000 bilion wakati mzee akishika usukani mpaka leo 22000 bilion hivi ndo zimemong'olewa na huto tusafari twake twa kila week end au miradi ya maendeleo. Hivi hilo bakuli analozunguka nalo kila uchao limeingiza ngawira kiasi gani?Nimependa maneno ya Ngeleja ujumbe tosha kwa Chadema...bajeti ya harusi.
mnakumbuka alisababisha mlinzi wa benki alifukuzwa kazi baada ya kumwambia boss kama unapiga simu kaa pembeni ili wateja wengine waendelee kupata huduma?:dance::llama:
Ngeleja amejichafua, simnakumbuka ule usemi tukiwa wadogo
Vibaraka wapo wengi sana humu....Well, Ngereja alikuwa anaenda na rekodi ambayo wao wenyewe waliita "BAJETI MBADALA" na kuichapa kwenye RAIA MWEMA na MWANANCHI na kitabu cha "BAJETI MBADALA" cha upinzani, ambacho Ngeleja alikuwa amekishika mkononi anakisoma. Kama Tundu Lissu anasema kilichosomwa na Zitto ni "maoni" na sio "bajeti mbadala" kwa nini waoe wenyewe CHADEMA wameiita "Bajeti Mbadala"?
CHADEMA wakachemka tena kusema wana jumla ya ma trillioni ya vyanzo vya mapato lakini ukienda kwenye itemization of funding wamesema mapato ya TRA "zero," na mapato ya ndani "zero." Na Ngeleja akashikilia hapo hapo, rekodi zao wenyewe CHADEMA, utakuwaje na ma trillioni ya mapato kama TRA imekusanya shilingi sifuri? Hahahahahhahaahaaaa....
It was extremely interesting session because it captures a snapshot of what will become once CHADEMA holds government kwa sababu Ngeleja kwa experience yake ndefu serikalini na kwa kukosolewa miaka sita aliongea kama mpinzani vile, kwa hoja ulizozoea kusikia kwa wapinzani, ndo maana ikabidi CHADEMA wamtumie Halima Mdee, Lissu na Mbowe kumkabili. Wakashindwa, ndo maana mwisho wa siku Halima alifuta kauli yake kwamba "Ngeleja ana uchungu wa kutoswa uwaziri" kijembe ambacho kilikuwa hoja nyepesi.
Ni alipokuwa akichangia hoja,, bungeni,, amesema watanzania muunge mkono bajeti ni nzuri itatusaidia,,,AMEUNGA MKONO HOJA YA BAJETI ASILIMIA MIA MOJA HAMSINI,, AMEPONDA BAJETI YETUU CHADEMA,, AMETAKA KUJICHUKULIA UMAARUFU KUPITIA KWETU