Ngeleja acha kutufanya watanzania wapumbavu.

Yn moshi ndo hakufai tk jmos hd leo kutwa hakuna umeme unarudi sa 1 usiku sa 4 wanakata wanarudisha sa 8 sa 12 asubuh unakatika unarudi sa 1 jioniiii. Yn mateso tunayopata mungu ndo ajuaye,
 
Yn moshi ndo hakufai tk jmos hd leo kutwa hakuna umeme unarudi sa 1 usiku sa 4 wanakata wanarudisha sa 8 sa 12 asubuh unakatika unarudi sa 1 jioniiii. Yn mateso tunayopata mungu ndo ajuaye,

Bora hata kwenu unakaasaa zote hizo huku arusha hata nusu saa haukai na ni usiku wa manane tuu wala sio sijui saa moja au mbili
 
Wana JF, mnajua hili tatizo la umeme halina dalili ya ufumbuzi na sisi tumebaki kuongea tu? Kwanini JF isitumike kupanga Demostration? nashauri kila watu katika maeneo waliko tukutane online na kupanga jinsi gani na wapi tuanze demostration. mimi nipo TARIME, wote wa tarime tuwasiliane kazi ianze
 
ndio umejua leo kuwa Ngeleja kashindwa kazi!!???? na kwa taarifa yako kwa kuandika hapa ni sawa na "kelele za chura ....", naweza kukubaliana nawe kama utakuja na wazo la nini kifanyike ili kumuondoa hapo alipo (yaani action plan)
naona huyu mkuu wa Tarime ana wazo hapa:

Wana JF, mnajua hili tatizo la umeme halina dalili ya ufumbuzi na sisi tumebaki kuongea tu? Kwanini JF isitumike kupanga Demostration? nashauri kila watu katika maeneo waliko tukutane online na kupanga jinsi gani na wapi tuanze demostration. mimi nipo TARIME, wote wa tarime tuwasiliane kazi ianze
 
mnaunaoje tukilianzisha twende tukamtoe Ngeleja pale mjengoni samora???? mi nikiskia jina lake tu kichwa kinauma.
 
Hili tatizo lipo mikoa yote...umeme hauna ratiba...unaweza katika mara 3 ndani ya saa moja.
Kila Ngeleja akitoa tamko hali inakuwa mbaya zaidi...akitoa tena ndio umeme unakatika nchi nzima.

huyu Ngeleja sijui ni mchawi..........
 
Wana JF, mnajua hili tatizo la umeme halina dalili ya ufumbuzi na sisi tumebaki kuongea tu? Kwanini JF isitumike kupanga Demostration? nashauri kila watu katika maeneo waliko tukutane online na kupanga jinsi gani na wapi tuanze demostration. mimi nipo TARIME, wote wa tarime tuwasiliane kazi ianze

wanakusikia......
 
Hili tatizo lipo mikoa yote...umeme hauna ratiba...unaweza katika mara 3 ndani ya saa moja.
Kila Ngeleja akitoa tamko hali inakuwa mbaya zaidi...akitoa tena ndio umeme unakatika nchi nzima.

mtwara hakunaga mgao.lindi pia hatujui mgao ni mdudu gani...... gomeni jamani
 
Ngeleja ananitia kichefuchefu maana kweli anatufanya wapumbavu kutudanganya makali yanapungua ilihali ndio yakaongezeka mara dufu haujui muda gani umeme upo. Anatutia hasara sana hasa kwa wanaotafuta kipato kidogo kwa kutumia umeme, kama hakuna umeme hauna pesa ya kula nyumbani
 
hakuna kitu kina boa kama hii ishu yaumeme! tatizo letu tunaongelea kwenye kibodi! tu! hebu tuweke mikakati yamana! tuandamane inchi nzima! minko mwanza hali ni ileile tu! aaaaaah! umekatika sijamaliza hata kuandika!
 
Jina ndo linalomkuza mtu: mzee megawati

Nakumbuka Jonh Momose Cheyo ndie alimbatiza hilo jina akaamwambia utaanza kuitwa Mzee Megawati na ndio hayo majina yamepatikana kwa ngelleja sie huwa tunaulizana Ngelleja yupo au yupi ICU means umeme ukoo au?

Na ukirudi utasikia ile halo ya umeme huyoooo Ngellejaaaaaaaaa karudi ukikatika khaaaaa Ngelleja nae kwa kuondoka mapema khaaaaaa utadhani basi za kwenda Mikoani
 
Nipo geita na sengerema ni line moja mambo ni kama hayo umeme utafikiri tunapewa bure toka juzi umeshakatika na kurudi kama mara 100
 
September aliyosema naona bado haijaisha labda mwisho wa mwezi huu ndio watarudisha umeme kama kawaida wakihakikisha ile 10% yao ya wahindi wauza majenereta imekwisha umeme utarudi hivyo tuendelee kutaabika hadi hapo watakapo maliza stock yao ya majenereta ndipo turudishiwe umeme ama sivyo endeleeni kutumia mishumaa,vibatari,chemli na taa za kichina.
 
Yaani mgao uko pale pale, na sasa ni worse kwasababu hatujui lini upo lini haupo. Inakera haswaaaaa!!!
 
This reminds the book "Who say truth in Tanzania?", nilipata kukiona kwa jamaa, nilikitafuta bookshops sijakipata, Je ni nani alobakia serikalini anayesema na kusimamia kweli?
 
This reminds the book "Who say truth in Tanzania?", nilipata kukiona kwa jamaa, nilikitafuta bookshops sijakipata, Je ni nani alobakia serikalini anayesema na kusimamia kweli?

My Take;

None Zero kabisaaaa

NB;
Mwakumbuka sera za CCM
zikinadiwa na JK kubwa lilikuwa ni kuongeza "AJIRA" kama umeme tu mpaka leo wameamua kuliita ni janga la kitaifa then sera za CCM katika hili wametudanganya wananchi its very simple wameshindwa uwajibikaji kwa wananchi, Huna umeme uzarishaji wa watu binafsi kwa viwanada vyao na mashirika ya UMMA, shughuli za watu binafsi zote zime lala yet Ngelleja unakuwa unawadanganya wananchi kuwa ukali wa mgao umepungua kumbe ndio kinyume chake ndio unaongezeka Viongzoi wetu husahau sana maneno waliyo yatoa kwenye ahadi zao za kutaka kuchaguliwa,

Nakumbuka JK alisha wahi kusema siasa ni mchezo mchafu na ni wakuzungusaha zungusha maneno na kweli yeye anaongoza kwa kuzungusha maneno. Sijui kama waandishi wa habari wanakumbuka hilo
 
Back
Top Bottom