Hii professional nmeivamia wandugu npeni michongo mingne yakufanya kwani mwakan tu namalzia digrii yangu.

Ingia tu mkuu baada ya mwaka mmoja chukua mkopo then zungushia kwenye biashara utatoka tu. Mie nilikua huko ila nilikwepa kwenye kusoma degree nikasomea kitu kingine kabisa na ndo kinachonitoa sasa
 
320,000.00 ukigawa kwa 30 ni sawa na 10,700/= Tshs kwa siku!
Hivi pesa hii mtu akijipanga kufanya kilimo cha umwagiliaji wa pampu tu ya kawaida akitumia maji ya mto wa kudumu hawezi kupata hata 500,000 kwa mwezi?

Nauliza tu, I stand to be corrected!

Then take risk and go farming.
 
Mkuu hii calculation ukiyoiweka ni sahihi kweli? maana hizo percentage ulizoweka makato yake yanafika sh 122591
Gross Salary 422,730.00
14% Tax 59,182.20
8% NHIF 33,818.40
5% pension 21,136.50
2% CWT 8,454.60

Take home salary= 300,138.30

TShs 135,000 toka kwenye mshahara na makato ya PPF hayakatwi kodi
 
Mkuu hii calculation ukiyoiweka ni sahihi kweli? maana hizo percentage ulizoweka makato yake yanafika sh 122591Gross Salary 422,730.00 14% Tax 59,182.20 8% NHIF 33,818.40 5% pension 21,136.50 2% CWT 8,454.60 Take home salary= 300,138.30
Sorry nahisi nimekosea si unajua hesabu ni janga la kitaifa! Kote ni sawa ila NHIF ni tshs 12000/= ambayo sijui ni sawa na asilimia ngapi kwingine ni exatly ka ilivyo
 
Du kumbe hizi information zipo?
Jamani mi naomba ya polisi-professional with an undergraduate degree in Computer Science-Networking, with CCNA cerrtification.
6months experience...
Mshahara wa polisi ukiwa na degree yeyote ile ni sh.455200 basic,na take home ni sh.359000,pia wanpata posho ya sh.100,000 katikati ya mwezi...hapo ni kabla hajapandishwa cheo chochote.
 
Mkuu hii calculation ukiyoiweka ni sahihi kweli? maana hizo percentage ulizoweka makato yake yanafika sh 122591
Gross Salary 422,730.00
14% Tax 59,182.20
8% NHIF 33,818.40
5% pension 21,136.50
2% CWT 8,454.60

Take home salary= 300,138.30
gross salary 422,730
422,730-(pension 21136.50)=401,593.50
401,593.50-(tax 31,500+20%(401,593.50-360,000)=361,774.80
361,774.80-nhif33,818.40=327,956.40
327,956.40-cwt8,454.60=319,501.80

take home salary=319,501.80
 
Msinielewe vibaya eti nawakatisha tamaa watu wasitafute kazi. No! Absolutely not!
Isipokuwa najaribu kuleta ujumbe kuwa: Tutafute kuajiriwa sawa, lkn OUR ULTIMATE GOAL IWE NI KUJIAJIRI NA HATA KUAJIRI WENGINE!

Thanks!
 
Mshahara wa polisi ukiwa na degree yeyote ile ni sh.455200 basic,na take home ni sh.359000,pia wanpata posho ya sh.100,000 katikati ya mwezi...hapo ni kabla hajapandishwa cheo chochote.
aisee i should join polisi, ila nao tatzo ni kubanana mno.
 
Mshahara wa polisi ukiwa na degree yeyote ile ni sh.455200 basic,na take home ni sh.359000,pia wanpata posho ya sh.100,000 katikati ya mwezi...hapo ni kabla hajapandishwa cheo chochote.
\
sasa hapo inarudi back to 459000 take home!
je. hapo ukipata hiyo si bado unapata house rent na vikolombwezo vyake?
nliambiwa mnapewa nyumba, na kama kituo ulichopangiwa hakina za kutosha basi unaenda kupanga nje na utalipwa rate za rent hiyo kutokana na mshahara wako.
vipi, hizi ziko included kwenye huo mshahara ama ni mojawapo ya benefits za kulitumikia taifa!??
 
By The Priest Mshahara wa polisi ukiwa na degree yeyote ile ni sh.455200 basic,na take home ni sh.359000,pia wanpata posho ya sh.100,000 katikati ya mwezi...hapo ni kabla hajapandishwa cheo chochote.

Wacha kutudanganya wewe, Polisi wanalipwa kutokana na vyeo vyao na sio degree wala certificate. Mfano Ukiwa na mbavu mbili unaitwa Koplo hapo mshahara wako unakua tofauti na siye na mbavu, hali kadhalika mwenye mbavu tatu na kuendelea. ukiwa na nyota pia unakua na mshahara tofauti na mwenye mbavu
 
Sio uongo mkuu, hapo kwenye vyeo nina ujuzi napo kiasi.

Ukiwa na degree unakuwa sawa na mwenye nyota moja japo hutawekewa nyota. Utavaa plain uniform ila mshahara wako utakuwa sawa na mtu mwenye nyota moja.

Baada ya miaka mitatu unaenda kupigwa kozi ndo unaanza kuvaa

Mtu mwenye degree haanzi na V, anaanza kupewa cheo straight from nyota moja na kuendelea...
Nadhani hapo niko sahihi!
 
Back
Top Bottom