Elections 2010 Ngawaiya kuhama nchi akishinda Dr laa

realtz7

Senior Member
Oct 23, 2010
110
1
hapa wahujumu wameanza kuitoa mmoja baada ya mwingine baada ya Mwenyekitiwa Jumuia ya wazazi Kilimanjaro Thomas Ngawaiya kutamka kwamba atahama nchi kama Dr W.Slaa akishinda uraisi, hii inaashiria huyu jamaa ni fisadi, mhujumu, why aogope kushi nchini chini ya Chadema? ana lake jambo!
 
Wote wanaotaka kuhama nchi waorodheshe majina yao katika ofisi za thithiem karibu na maskani yao ili wapatiwe nauli za ndege na pesa za kujikimu huko waendako. :peace:
 
sio mzalendo na mjinga number 1 huyo ambaye ni fisadi ...mafisadi wanatapatapa....mungu saidia slaa
 
Ahame nobody needs him anyway!!!:A S angry::A S angry:
 
Ngawaiya lazima ahame kwani ni fisadi alihujumu pesa za mfuko wa Pembejeo za kilimo wakati akiwa waziri.Aliziweka pesa hizo AXIM BANK kwenye account ya FDR badala ya kuwakopesha wakulima kwa muda wa mwaka mmoja akajizolea riba kibao ndipo akazitoa bank na kuwakopesha wakulima.MATUMIZI MABAYA YA MADALAKA
 
hapa wahujumu wameanza kuitoa mmoja baada ya mwingine baada ya Mwenyekitiwa Jumuia ya wazazi Kilimanjaro Thomas Ngawaiya kutamka kwamba atahama nchi kama Dr W.Slaa akishinda uraisi, hii inaashiria huyu jamaa ni fisadi, mhujumu, why aogope kushi nchini chini ya Chadema? ana lake jambo!

Yeye ni nani Nchi hii?
Ameifanyia Nin Nchi Hii?
Twaomba picha yake hapa?
Je akiondoka twapata hasara gani Nchi hii?

NB: Nilisha wahi toa angalizo kwa viongozi wote wa siasa kuwa kuweni makini na kauli zenu mzitoazo kwa Taifa hili kuna vizazi vyaja vitajiuliza sana kuhusu uwezo wenu wa kuliongoza nchi ulikuwaje na hao wananchi waliokuwepo walikuwa na ujasiri gani kuvumilia maneno kama haya ya viongozi walopokaji

 
ngawaiya lazima ahame kwani ni fisadi alihujumu pesa za mfuko wa pembejeo za kilimo wakati akiwa waziri.aliziweka pesa hizo axim bank kwenye account ya fdr badala ya kuwakopesha wakulima kwa muda wa mwaka mmoja akajizolea riba kibao ndipo akazitoa bank na kuwakopesha wakulima.matumizi mabaya ya madalaka
oh oh!
 
Utawasikia akina RA na EL na mafisadi wengine nao kama hawajaweka mpira kwapani na kutokomea kusikoeleweka.
 
Kwani kuwepo kwake yeye sasa hivi ktk hii nchi tunanufaika na nini? Mbona kwa miaka yote iliyopita mpaka sasa tunaishi kwa taabu tu....
 
Back
Top Bottom