Ngassa

ap-201107202324842641734.jpg

Manchester United's Wayne Rooney, second from left, takes a shot as Seattle Sounders FC's Taylor Graham, left, Mrisho Alfani Ngassa (35), and David Estrada, right, look on in the second half of a friendly soccer match Wednesday, July 20, 2011, in Seattle. Manchester United won 7-0.
 
Seattle Sounders FC's Mrisho Khalfan Ngassa, left, tangles with Manchester United's Fabio Da Silva in the second half of a friendly soccer match, Wednesday, July 20, 2011, in Seattle. Manchester United beat the Sounders 7-0.
 

Attachments

  • Ngassa.jpg
    Ngassa.jpg
    17.3 KB · Views: 82
kijana amewakilisha vyema, tuzidi kumuombea ili apate hiyo timu au hata nyingine coz kiwango chake ni kizuri.
 
Hiyo mechi ilikuwa ni friendly ndio maana uliona half time wamebadirisha timu nzima, kwa hiyo huwezi kutegemea kuwaona wakicheza kama wanavyocheza kwenye mechi za ligi. Muda aliopangwa Ngassa ni mfupi sana hopefully atapata muda zaidi wa kufanya majaribio na jamaa. Juzi timu ya Nizar Khalifan ilicheza na Manchester City naona hakuna aliyezungumzia.
Wakati anaondoka nchini, Nizar alikuwa mchezaji wa Mtibwa Sugar na hajawahi kuchezea zile timu zetu na ndo maana hata kwenye Stars anapogusa mpira watu hawashangilii. Huo ndo mfumo madhubuti wa soka Bongo tunaojaribu kuomba kwa Muumba kila kukicha ubadilike lakini wapi!
 
Ngasa kaonyesha uwezo wowowte? maana nahisi hiyo ndio ilistaili iwe nafasi yake ya kujijengea trust kwa hiyo team
 
Komaaa bhana mdogo Ngasa, ukirudi huku ni kuchukua mabegi yako na wife wako unarudi uko kufanya kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom