Ki-mchezo pale NGASSA alistahili pongeze kwani ali -react kwa haraka baada ya AMOS kumpa pasi mbovu FERDINANDNgasa kakosa goli la wazi kabisa dk 1 kabla ya mchezo kwisha.
seattle sounders 0 man united 7 ngassa aingia dk 76 amecheza vizuri almanusura afunge rio ablock he did a gud job
Hiyo mechi ilikuwa ni friendly ndio maana uliona half time wamebadirisha timu nzima, kwa hiyo huwezi kutegemea kuwaona wakicheza kama wanavyocheza kwenye mechi za ligi. Muda aliopangwa Ngassa ni mfupi sana hopefully atapata muda zaidi wa kufanya majaribio na jamaa. Juzi timu ya Nizar Khalifan ilicheza na Manchester City naona hakuna aliyezungumzia.hii timu ya seattle kiwango chao sio kizuri, muda aliopewa ngassa kucheza ni mchache mno coz mipira yenyewe hata haifiki mbele kwa hiyio ndi vigumu kuonyesha makeke. Mabeki wao wanakatika mno, wanapoteza mipira kwa ulahisi sana, pia hawakabi kwa moyo, sioni sababu ya ngassa kukosa namba pale, labda kama huwa wanacheza vzr zamani ila leo ndio limewagomea.
timu ya nizar ilipigwa ndio maana unaona kimyaHiyo mechi ilikuwa ni friendly ndio maana uliona half time wamebadirisha timu nzima, kwa hiyo huwezi kutegemea kuwaona wakicheza kama wanavyocheza kwenye mechi za ligi. Muda aliopangwa Ngassa ni mfupi sana hopefully atapata muda zaidi wa kufanya majaribio na jamaa. Juzi timu ya Nizar Khalifan ilicheza na Manchester City naona hakuna aliyezungumzia.
timu ya nizar ilipigwa ndio maana unaona kimya
hii ni timu ya ngasa toka lini?kwani hii ya ngasa ilishinda, ndo maana wanaizungumzia?