Ngassa kutambulishwa leo,aliahidiwa 3m kila goli!!!!!

Ngasa sio mtoto kama mnavyodhani,yule ni kibabu wa kichina!Waulize watu wa Mwanza hususan Magu watakwambia ameanza kucheza lini tena akiwa na familia yake mama na watoto kadhaa!Nitawashangaa Simba wakifanya uhuni wa kumsainisha kama wazungu walivyomfanya Sultani Mangungo wa Msovero!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Mkuu mimi niliposema mtoto sikumanisha mtoto U20 au U18, nilimanisha ni mtoto ukimlinganisha na mimi.
 
mmmh....

huyu mtoto nina wasiwasi na washauri wake..

nadhan wanaamin mpira n simba na yanga 2... hafikiri hata kutoka nje ya nchi
wewe mkubwa umeenda nchi gani kufanya kazi! kariakoo boy. Kaseja kaenda wapi? Boban mbona alirudi husemi. Nyani haoni kundule.mlitaka kumuuza Sudan wakawastukia.
 
unataka aende wapi? zambia, kenya au wapi? mshahara wake unamtosha anawazidi degree holders kibao. yeye darasa la 7 anakula 3 milion si kidogo. kwa mwaka 36 mill.ww ukistaafu miaka 30 ya kazi hupati hizo.
 
Ndugu wanajangwani lile jembe la Yanga Mrisho Halfan Ngassa leo atatambulishwa kwa waandishi wa habari.Mshahara wake utakua $2000.

Wakati huo huo katika kile kilichoonyesha kwa anamapenzi kutoka ndani ya moyo wake na timu ya Yanga juzi alikataa kuifunga timu yake hiyo ya mitaa ya twiga/jangwani ingawa aliahidiwa kulipwa million3 kwa kila goli atakalolifunga.

More updates to come.................

Huyu bwana mdogo yuko money oriented, hana mapenzi na klabu yoyote. Mimi sioni kama atakuwa na impact kwa sasa kwani Yanga ipo fiti labda washindwe ku-retain wachezaji.
 
aende zake huko anakipaji gani huyo ngasa?tuliona majembe kina okwi huyu hata aangalii mbele.baada ya hiyo miaka 2 kuisha atasajiliwa kwa sh.ngapi.kwan atakuwa kafulia zaid na bahat mbaya hakuna timu itayomtaka.we dogo mbulula kweli ningekuwa mkeo hata talaka ningekupa
 
Mrisho Ngassa akiibusu jezi ya Yanga baada ya kutambulishwa rasmi kurejea katika klabu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili asubuhi ya leo, makao ya klabu hiyo makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani, Dar es Salaam.

Katibu wa Yanga, Lawrence Mwalusako akimkabidhi Ngassa jezi ya Yanga leo

Hivi jezi za Yanga hazina namba?
 
Wewe ni Yanga pia?pilipili usiyoila inakuwashia nini?
Mkuu hayo ni mambo madogo yanaonyesha kwamba viongozi wetu hawako makini, kokote duniani sijwahi kuona mchezaji anatambulishwa na kupewa jezi ambayo haina namba, na kama hawajafikiria ni namba ipi atavaa kulikuwa na haraka ya nini wakati mchezaji mwenyewe alishasema anaipenda Yanga na kwa vyovyote vile wangemsajili tu?
 
Bado hajapewa namba yake ile 16 si unajua inatumika?
Wewe huoni kama ligi imeisha hadi usajili umeanza? Hiyo 16 inatumika wapi na kwani lazima apewe hiyo 16? si wangeweza kuandika namba yoyote halafu baadaye wangeweza kumbadilishia, huko tunasema ni kukosa weledi na umakini pia.
 
Wangeandika namba yoyote mngekuja na maneno, waswahili hamnaga jema nyie
 
Mkuu hayo ni mambo madogo yanaonyesha kwamba viongozi wetu hawako makini, kokote duniani sijwahi kuona mchezaji anatambulishwa na kupewa jezi ambayo haina namba, na kama hawajafikiria ni namba ipi atavaa kulikuwa na haraka ya nini wakati mchezaji mwenyewe alishasema anaipenda Yanga na kwa vyovyote vile wangemsajili tu?
Bwana Rage inakuuma sana Ngasa kurudi home eh!
 
Bwana Rage inakuuma sana Ngasa kurudi home eh!
Ningekuwa mimi ndo Rage kwa maana ya m/kiti wa Simba timu yetu ingekuwa iko juu, Ngasa kwenda Yanga binafsi haijaniuma, na mimi nilishawahi kusema Kaburu alifanya makosa makubwa kumleta Ngasa Simba, kwa muda ule wangeweza kutafuta mchezaji mwingine wa maana anayejitambua.
 
Wangeandika namba yoyote mngekuja na maneno, waswahili hamnaga jema nyie
Nadhani watakuwa wanasubiri Niyonzima awahakikishie kama atabaki au la, na kama ataondoka basi Ngasa apewe jezi namba 8, na kama atabaki ndo watamtafutia namba nyingine.
 
ningekuwa mimi ndo rage kwa maana ya m/kiti wa simba timu yetu ingekuwa iko juu, ngasa kwenda yanga binafsi haijaniuma, na mimi nilishawahi kusema kaburu alifanya makosa makubwa kumleta ngasa simba, kwa muda ule wangeweza kutafuta mchezaji mwingine wa maana anayejitambua.

kaka tuache chuki ya usimba na uyanga kumwongelea ngassa.... Kama kweli umeziona mechi za simba zote tena hasa hasa baada ya kusimamishwa kwa kwa wale wengine utakuwa humtendei haki ngassa kusema hajatusaidia lolote... Kiukweli ngassa, kiemba na chanongo wamechangia kwa kiasi kikubwa kuipa simba hii nafasi ya 3 tulipo.... Na kama ulikuwa unaona vile vile impact za sub alizokuwa anafanyiwa ngassa utajipa jibu mwenyewe, tumpe sifa yake japo anaipenda yanga...
 
Mkuu mimi sina chuki na Ngasa, wala sijasema kwamba Ngasa wakati yuko Simba alicheza vibaya, ninachosema ni kwamba Simba hawakutakiwa kumsajili Ngasa kwa sababu zifuatazo:
-Ngasa ni mnazi wa Yanga na hilo kila mtu analijua na nia yake yeye alishaonyesha toka mwanzo kwamba anataka kwenda Yanga, tatizo ni kwamba viongozi wa Yanga walitaka wamchukue bure bila kulipa chochote, kuona hivyo Simba ikabidi wamalizane na Azam. Kutokana na uyanga wake hata kama alicheza vizuri bado hatuamini kama uwezo wake uliishia hapo.
-kutokana na sababu hapo juu ilikuwa dhahiri kwamba Ngasa asingekaa muda mrefu Simba hivyo kumsajili ilikuwa ni kuendeleza mambo yale yale ya kusajili kila mwaka, na kama wangesajili mwingine basi angeisaidia klabu kwa misimu pengine zaidi ya miwili.

Na kingine hatuwezi kukubali kwamba Ngasa kaisaidia Simba kushika nafasi ya tatu, mimi nasema hata kama asingekuwepo bado tungweza kushika nafasi ya tatu au pengine ya juu zaidi na hapa justification ni rahisi mwaka jana hakuwepo tulishike nafasi ya kwanza tena kwa pointi nyingi kuliko hata walizopata Yanga mwaka huu, hata ligi ya mabingwa tulifanya vizuri kuliko tulivyoboronga mwaka huu na yeye akiwepo.

Usajili wa Ngasa kwa Simba haukuwa na tija na hasa tukizingatia kitaalamu Simba ilihitaji viungo wa kati na beki ili kuziba pengo la Yondani na pengo la Mafisango, Ngasa alisajiliwa ili azipe pengo la nani?
 
mmmh....

huyu mtoto nina wasiwasi na washauri wake..

nadhan wanaamin mpira n simba na yanga 2... hafikiri hata kutoka nje ya nchi
Hana mpango wa kucheza nje coz kauza mechi nyingi sana na mpira wa nje wanaendekeza mambo ya kupima ngoma..!
 
m3 kwa akili zake ataenda kuoa mke wa pili....

vi2 vingine siyo vya kuongelea.. wa2 kama kina pawasa mpk sasa wanalalamika walipopata nafac za kwenda nje wakang'ang'ania mpira wakulogana wa tz...
 
Mkuu hayo ni mambo madogo yanaonyesha kwamba viongozi wetu hawako makini, kokote duniani sijwahi kuona mchezaji anatambulishwa na kupewa jezi ambayo haina namba, na kama hawajafikiria ni namba ipi atavaa kulikuwa na haraka ya nini wakati mchezaji mwenyewe alishasema anaipenda Yanga na kwa vyovyote vile wangemsajili tu?

Namba za Yanga ziko hapa: simba.co.tz
 
Back
Top Bottom