ngarnanyuki-ngome muhimu ya ccm iliyoangukia chadema

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
eneo la ngarnanyuki huko jimboni arumeru limeishangaza ccm kwa kitendo cha wakazi wake kugeuka ghafla na kuanza kuisupport chadema.

Wazee wa kimila huko ngarnanyuki wametishia kupanda fuso mpaka ikulu iwapo kura zitachakachuliwa.

Hili ni pigo jingine kwa ccm,ni kama vile umeme unapokatwa wakati mgonjwa yuko kwenye oksijeni.
 
Na siyo huko peke yake, punde Tz yote itakuwa inai-support CDM. Na hapo ndiyo magamba yatakapokumbuka shuka asubuhi.
 
Hata kama itatokea wakashinda kwa kufinyanga bado 2015 hawatoki make kwa pamoja wanaweza lakini kwa mtu mmoja mmoja kuanzia na Mama tundege mpaka kwa akina Simbachawene jua kitawachwea pindi watakapokuwa wanazikwepa nguvu za umma...tungoje kidogo 2015 siyo mbali
 
Siku Sioi alipoenda kufanya mkutano huko wazee walipanga magogo barabrani ili msafara wa ma vx ya CCM usipite, ikabidi waahirishe wakamtafuta Ole sendeka na yule mbunge wa Arumeru Magharibi kwenda kuongea na wazee hao ndipo walipo waruhusu kufanya mkutano lakini wazee hao katika hali ya kushangaa=za walienda kufanya kazi za kujitolea kwenye shule moja wapo huku mkutano wa CCM ukikosa watu kabisa....
Siku ya mkutano wa CDM wazee walijitokeza kwa wingi na kumvivisha mgorori na fimbo kama ishara ya kuwa tayari kuongozwa na kijana Nasari..................
 
Mkuu juzi nilikuwa kwenye kijiji kimoja kinaitwa mulula watu wahuko wanasema kama CCM itashinda itakuwa ni aibu kubwa kwa wameru hata dunia itawashangaa na kwa kuwa wameru wanasifa ya msimomo thabiti hawawezi kuikubali aibu hiyo.....
 
Na siyo huko peke yake, punde Tz yote itakuwa inai-support CDM. Na hapo ndiyo magamba yatakapokumbuka shuka asubuhi.
Chadema wakitoka Arumeru wanaelekea Mikoa ya pwani,Lindi,mtwara....na siku hawa watu wakikombolewa CCM kwa heri
 
Siku Sioi alipoenda kufanya mkutano huko wazee walipanga magogo barabrani ili msafara wa ma vx ya CCM usipite, ikabidi waahirishe wakamtafuta Ole sendeka na yule mbunge wa Arumeru Magharibi kwenda kuongea na wazee hao ndipo walipo waruhusu kufanya mkutano lakini wazee hao katika hali ya kushangaa=za walienda kufanya kazi za kujitolea kwenye shule moja wapo huku mkutano wa CCM ukikosa watu kabisa....
Siku ya mkutano wa CDM wazee walijitokeza kwa wingi na kumvivisha mgorori na fimbo kama ishara ya kuwa tayari kuongozwa na kijana Nasari..................

hii ni ishara ya anguko kuu la ccm 2015 kwani kile kisungizio cha wazee na wanawake kuipenda ccm kimeanza kuwa historia.najua uongozi wa ccm taifa haupati habari kama hizi na hii ni kwa sababu makada walioko arumeru wanapenda kuendelea kula perdiems za nguvu huku wakipeleka rupoti za uzushi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom