Ngao ya Hisani live: SIMBA vs YANGA

Hawa jamaa wote simba na yanga wanaboa sana,kitu kidogo tu wanatishia kuleta timu uwanjani. Natamani timu hizi zife badala yake tupate timu zingine imara zaidi ya hizi

Poulsen aja amtezame boban alafu wakashauriana na kayuni kama anafaa au hafaai,kayuni anaiharibu tff na kumuweka poulsen pabaya kwa chuki zake zisizo na lazima ana wivu kama mtt wa kike
Kayuni hafai huwa anachuki zisizo na misingi we check hata Jerry Tegete kamamtoa kiana kwenye national team.Soka la bongo litabakia hapa lilipo vinginevyo wavue magamba yote ya TFF

Hivi nyie mnaoulizia matokeo mpo dunia gani na kweli mnafuatilia michezo au ? Mechi inachezwa usiku saa 2 na sasa bado ni jioni....

Ila ni ukweli usiopingika kuwa TFF imejaa Yanga, yaani kuanzia mwenyekiti, Katibu na kamati kibao.... Wameona aibu issue ya Kago baada ya "kufokewa" na wakubwa. Hata mtoto mdogo hasingeweza kuja na upuuzi huo wakati wanajua mwaka jana tu Asamoah alicheza game hiyo, na pia muda wote huo wamekaa kimya hadi last minute. Kwa kuumbuka FIFA itatoa dole na kijana hatari atakipiga ktk ligi. Na leo mkitia timu (pumbaf...mnapokea hela halaf eti mnatishia nyau hamtii timu uwanjani....) lazima kijana awalize. Tumeshatimua wale mlioozoea kuwapa hela ili watufungishe, na yule beki leo atakaa bench maana tuna usajili mzuri !!

Fuso leo atafungashwa tela mpaka ateme damu..... huyu mzee aliyerudisha umri nyuma leo Okwi anae...

tunaulzia matokeo ya game ya jioni kati ya simba B na yanga B,kama mechi ya utanguliz mkuu,wenye updates pliz tujuzen tokeo

Hivi nyie mnaoulizia matokeo mpo dunia gani na kweli mnafuatilia michezo au ? Mechi inachezwa usiku saa 2 na sasa bado ni jioni....

Watu wamechoka na hizi ligi uchwara, wamebaki ushabiki wa kizalendo tu. Ukitaka kuwajua waulize mechi ya Barca na Madrid, wanakupa saa na dkk mechi inachezwa plus vikosi vyote!

Ivi hakuna website yenye updates za ligi za ndani jamani?

Poulsen aja amtezame boban alafu wakashauriana na kayuni kama anafaa au hafaai,kayuni anaiharibu tff na kumuweka poulsen pabaya kwa chuki zake zisizo na lazima ana wivu kama mtt wa kike

Kwani mkataba wa Poulseni unasemaje? yaani yeye kocha mkuu anachaguliwa wachezaji? hapa naona tunataka kuhamisha lawama kwa Kayuni tiu, tatizo ni kocha mwenyewe, kama anamchukua Banka ambaye kila mtu anaona kabisa muda umekwenda hahitajiki Stars.

Na the same thing, toka aichukue timu na kuanza kumuweka Kaseja golini, wapi tumefika? Kaseja ni bomu lingine kwa huyu mdenishi

leo tutapiga yanga kama mbwa mwizi na ndio mtajua kwanini cannavaro alifurahi kimoyo Costa alipoumia vibaya! uhuru selemani,okwi,pale kati boban! Kwishney!

leo ndo mtajua fuso si beki,lazima alambe kadi kwa rafu za kitoto,duh hv pale kati yupo afande nyoso! Bila kusahau mkabaji jerry santo! Mtavuna aibu yanga!

mkonomtupu ,huku siasa hapana tumekimbia kule pasua kichwa walau tupoze vichwa humu.kipigo kwa yanga hakiepukiki labda wakimbie uwanja.

simba wanakikosi bora sana kwa sasa,Yanga hamna kitu sina pressure hata chembe.uzuri yanga wanajua hawaongei leo kimyaaaaaa!

Vikosi vitakuwa kama ifuatavyo: Simba: Kaseja, Said Cholo, Amir Maftah, Juma Nyoso, Victor Costa, Jerry Santo, Salum Machaku, Patrick Mafisango, Felix Sunzu, Haruna Moshi na Emmanuel Okwi.
Yanga: Kado, Nsajigwa, Joshua, Chacha Marwa, Nadir Haroub, Juma Seif, Godfrey Taita, Haruna Niyonzima, Keneth Asamoah, Tegete na Kigi Makasi.

wamewaanzisha waviziaji tegete na asamoah! Waviziaji alafu ndio wanaongoza kwa kupaisha wakibaki na kipa! Hamna kitu hapo younger( dogo).

Naomba kujua kama mechi hii itaonyeshwa ktk TV hapa tz!

Bora hata wasioneshe, umeme wenyewe leo ck ya tatu hatujauona, jenereta hazina mafuta sasa hata TV zikionesha ni sawa na bure. Kwanza nashangaa hata hiyo mechi kuchezwa uck..labda watatumia ambulace kama siku ileee

usitangazee BIGBON wakikusikia

Vikosi vitakuwa kama ifuatavyo: Simba: Kaseja, Said Cholo, Amir Maftah, Juma Nyoso, Victor Costa, Jerry Santo, Salum Machaku, Patrick Mafisango, Felix Sunzu, Haruna Moshi na Emmanuel Okwi.

Yanga: Kado, Nsajigwa, Joshua, Chacha Marwa, Nadir Haroub, Juma Seif, Godfrey Taita, Haruna Niyonzima, Keneth Asamoah, Tegete na Kigi Makasi.

source?

Similar Discussions

Back
Top Bottom