Ney wa Mitego amuuliza Idris Sultan mil. 500 zimeishaje?

Mie ni jirani ya hizo apartments, kwanza kwa location zilipo hawezi kuwa alinunua hata kama ni milioni mia tano, maana kiwanja tu kwa mbezi ya whitesands kinavuka hiyo bei. Halafu sijui kwa nini vijana wanajisahau dah atarudi kupiga picha za harusi mpaka za msiba wa mademu zake wote na iwe fundisho kwa wengine mnaenda kuuza sura mnajidhalilisha then mnapata hela bado mnakaa kudhalilika , why??
tunasomana mkuu kumbe tupo jirani na hizo nyumba...
 
Kikubwa nachojua mimi swali liwe kubwa au dogo lazima mhusika(muulizwaji) ajibu hasa ukizingatia swali lenyewe lina uzito kwa jamii yetu
 
nina ubuyu wa kutosha kuhusiana na hizi nyumba kwa maana zipo kama apartments pale round about ya kuelekea girrafe..ila ngoja niweke hakiba ya maneno
Mavi acha hizo,unatupa dondoo unatuacha kwenye kizungumkuti...
 
Watu wa Chadema kwa mambo ya kike.. Huyu Ney alikua team ya wasanii wa Chadema
 
Baada ya idris sultan kuonekana kufulia mjini msanii ney wa mitego ameibuka na kumuuliza idris sultani kuhusu milioni 500 alizoshinda kwenye big brother
Ney wa mitego" baada ya kushinda big brother watu wadau walimkanya kuhusu wacheza sinema wa bongo, ila inabidi atuambie pesa nyingi zile milion 500 zimeisha ishaje fasta hizi kijana mwenzetu, milioni 500 si mchezo, idris tuambie zimeishaje?




View attachment 424909

duh! kweli madem cyo watu wa mchezo mchezo, hongera chaa_lii ya R kwa kugraduate umaskini
 
Alizawadiwa hiyo nyumba na mwarabu familia ya jamaa wa furniture centre sikuhizi GSM ....

Swali jiulize huo urafiki wa mwarabu na mbongo hadi kupeana ghorofa wapi na wapi
Hakuna zawadi ya bure nyumba nzuri hivyo ya bure kitu kitu gani nyumaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom