Next Year muda kama huu

labda ilitoka wakati wa kucheza nage ....na hakujua....nadhani hata bidada alipata shock siku ya ndoa..
used ni used tu bwana inajulikana
the way mdau alivojibu hapo juu inaelekea hakuona hata dalili
 
Yaani Mwali kama mchawi! Unamkumbusha mwenzio machungu leo ataenda mnunia mkewe sasa. Aaagh!
 
Last edited by a moderator:
Nacheck check ustaarabu wa kumwona niliye nae kama ataweza kwendana na mie pamoja ni mikazi yangu next year muda kama huu ntawaambia kuwa nachumbia wana JF...ila jamani twende kwenye fact this days unaweza kukuta mdada akiwa virgin since amezaliwa hakuna mme aliye mjua..?am just in somewhere i have been promise kwamba there some thing like that kwenye body a mwanadada mmoja.

Nimeambiwa niwe nasubira kupewa kilicho bora.Na ahadi ni kwamba nisubiri mpaka ntakapo mweka ndani...je katika mazingira ya kawaida naruhusiwa kusuburi mpaka ndoa na je kama nikiwa nasubili ambacho hakipo itakuwaje?Nisaidieni wenye mawazo
Wajinga ndio wali Wao...
 
Mhhh sijaelewa hapa, ulibahatika kupata nn na ulipishana na nini?

Nilipata show lakini sikukuta bikra ambayo ndio ilikuwa mawazoni....kwa kweli alikuwa na kila dalili ya kuwa nayo...sasa sijui ilitokaje...na baada ya kuikosa sikuweza kuuliza kwanini sijaikuta badala yake ikabidi niendelee na mengine... mzawahalisi
 
Last edited by a moderator:
ahahaaaaa pole mkuu
si angekuwekea hata ya mchina jamani?
Smile very innocent girl kama yule sidhani kama angeweza hata kuwa na wazo la mchina...maskini kalikuwa hakajui kama kanayo au hakana....labda kwa kuwa kalikuwa hakajawahi pitiwa na vibanda umiza wa kiume.
 
Last edited by a moderator:
Duu......Miaka sita iliyo pita Mwali hii thread umeipata nilibatika.....ingawa nilipishana na mategemeo.....Dunia hii.......
Niliipata ulikoiacha kuleeeee.
NIkaona si vibaya tuulizane yaliendaje.
Pole kwa kupishana na mategemeo.
 
Niliipata ulikoiacha kuleeeee.
NIkaona si vibaya tuulizane yaliendaje.
Pole kwa kupishana na mategemeo.


Una Kesi na mimi wewe...nini hii ya kuzuia PM Mwali wakati wewe unaweza tuma kwa wengine...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom