¥¥>>> News;<<<My wife(Arabela) aanza kula Udongo wa Pemba¥¥¥¥....Mshtuko..

Hahaha my hubby me jana nlikwambia nina malaria sugu ni wiki ya tatu sasa.
 
wana science wanasema ukikaa karibu na mwanamke mjamzito,kwa muda mrefu yule mtoto wa ndani anabadilika na kufanana na aliekaribu yake...

ndi maana yake , na waswahili husema 'kitanda hakizai haram' hivyo kwa nia njema kabisa nakushauri ukubali matokeo
 
We ulifikiri ile kampeni yangu ya kutaka Arabela awe miss chit chat wa mwezi huu ilikuwa ya bure..??

 
Last edited by a moderator:
Mkuu zubedayo_mchuzi kuwa na subira angalia watu wasijekukurudisha tena lupango.
We kubaliana na matokeo tu..binadamu si wema.
 
Last edited by a moderator:
arabera my dia, karibu sana kwenye chama. mwenzio namalizia ngwe ya mwisho hapa bedrest. duh nakuonea huruma mwenzangu ndo unaanza!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaaa! PakaJimmy sio aanze na kipimo UPT kwanza?

shikamoo mama, za siku? jamani nimewamisi sana. vp baba hajambo? me mzima pamoja na mjukuu wako mtarajiwa. mkweo yupo dar kikazi. next week natarajia kupata bouncing baby boy!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
arabera my dia, karibu sana kwenye chama. mwenzio namalizia ngwe ya mwisho hapa bedrest. duh nakuonea huruma mwenzangu ndo unaanza!

mpenzi me nlipimwa malaria nkaambiwa malaria sugu inanisumbua
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom