¥¥>>> News;<<<My wife(Arabela) aanza kula Udongo wa Pemba¥¥¥¥....Mshtuko..

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Ni mwezi sasa nikiwa Lupango,Isanga jana nimerudi nimepgwa butwaa my wife ana kilambo cha udongo wa pemba,limao za kutosha.chini ya Meza kuna kifuu cha kutemea mate..

Hiyo kitu sijui ni yangu au wajanja wamempa mzigo....

Kwa hii kitu atajulikana tu muhusika.
tonterias+ak47+de+oro+pistola.jpg a
 
Ni mwezi sasa nikiwa Lupango,Isanga jana nimerudi nimepgwa butwaa my wife ana kilambo cha udongo wa pemba,limao za kutosha.chini ya Meza kuna kifuu cha kutemea mate..

Hiyo kitu sijui ni yangu au wajanja wamempa mzigo....

Hapo kwenye red ni problem! Embu check na Erickb52!
 
Ni mwezi sasa nikiwa Lupango,Isanga jana nimerudi nimepgwa butwaa my wife ana kilambo cha udongo wa pemba,limao za kutosha.chini ya Meza kuna kifuu cha kutemea mate..

Hiyo kitu sijui ni yangu au wajanja wamempa mzigo....
Ugonjwa mbaya sn huo., unaitwa schitosomiasis, mwahishe hospital aanze na kipimo kinaitwa ultra-sound, then kifuate kipimo kinachoitwa speculum.
 
Usijali mkuu,unajua wana chit-chat ni ndugu,hatukutaka Arabela apate shida wakati uko lupango,hivyo kutokana na ukarimu wangu na MAPENZI MEMA kwako na kwa Arabela nilijikabidhi jukumu la kumlea katika shida na RAHA, I'm solely responsible for the changes you've observed.
 
Last edited by a moderator:

Umenishtua! Namejaribu kuunganisha maelezo yakidaktari na jina lako linavyoanza! Duh!? Usikute wewe ndio Dr manyaunyau!? Lol...
Kwema lakini!?
 
Usijali mkuu,unajua wana chit-chat ni ndugu,hatukutaka Arabela apate shida wakati uko lupango,hivyo kutokana na ukarimu wangu na MAPENZI MEMA kwako na kwa Arabela nilijikabidhi jukumu la kumlea katika shida na RAHA, I'm solely responsible for the changes you've observed.

Duh? Umejisalimisha easly kama mtuhumiwa wa utekaji wa ulimboka! Na wewe ni mkenya au?
 
Last edited by a moderator:
Usijali mkuu,unajua wana chit-chat ni ndugu,hatukutaka Arabela apate shida wakati uko lupango,hivyo kutokana na ukarimu wangu na MAPENZI MEMA kwako na kwa Arabela nilijikabidhi jukumu la kumlea katika shida na RAHA, I'm solely responsible for the changes you've observed.

Unajitafutia matatizo eeeh.
 
Last edited by a moderator:
Me nasubiri wooote mjimalize,halafu shosti ake n'tajimwaga uwanjani kuja kuyatoa yaliyo moyoni mwake.
Maana niko nae hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom