NEWS: Meneja wa Jengo la PPF Mwanza apewa kibano na FFU

Dah pole yake.... afu juzi si alikwua kwenye miss Nyamagana akitoa zawadi lol....... jamani inasikitisha

Haki ya Mungu khali si khali definately ndo yy....... sasa pamoja na hiyo bata aliyokua akipiga halafu mwisho wa cku unaaibika kiasi hicho. Mie ckufurahia hicho kitendo.
 
wengi wameishia darasa la 4 wakapewa nafasi kwa kubebwa ndo mana wanafanya mambo hovyohovyo
wanatumia nguv kuliko akili khaaaaa
Mie nadhani inatakia imkute m2 ambaye hawezi kupotezea hizo vitu. Dawa yao ni kuwakabidhi kwa lawyers basi wanashughulika nao. Maanake wakifukuzwa kazi cdhani kama hapa mjini watatoka labda waende KK
 
Nilikataa kazi ya Upolisi kwasababu kama hizi, binadamu tunatofautiana tabia lakini ukikaa na wapuuuzi kwa mda mrefu uwezekano wa kubadirika ni mkubwa sana
 
Jamaa asikubali kuonewa kipuuzi namna hiyo......
Kuna vijana mtaani hawana kazi.....If you know what I mean!!
Mkono mmoja wa Kulia ukiwa kwenye muhogo kwa 8months atatia adabu!
 
umeonaeee wao wanatumia maguvuu kipindi flani nshawahi kuishi ungalimited arusha yaani kule askari hawakatizagi hovyo mitaani na magwanda
wakipita tuu wanachezea kichapo na mda mwingine ukipeleka mashtaka kwao wanakupotezea
eti deffender halina mafuta
oooh hakuna mtu wa kumuacha kituoni
kwahiyo kamlete mtuhumiwa wako mwenyewe

na hiyo ndo dawa yao manake
na wao ni waonevu saaaaaana
khaaaa
Mie nadhani inatakia imkute m2 ambaye hawezi kupotezea hizo vitu. Dawa yao ni kuwakabidhi kwa lawyers basi wanashughulika nao. Maanake wakifukuzwa kazi cdhani kama hapa mjini watatoka labda waende KK
 
Yaani hata mseme nini, hakuna justification ya kumpiga huyo meneja! Hii police brutality katika nchi za wenzetu wangekuwa wamempatia jamaa utajiri wa bure.
Police waliwakuwa na alternative ya kumdhibiti jamaa bila kumpiga bila kujali ni maneno gani alikuwa anawambia kama raia. Nadhani police wetu wanafundishwa kupiga zaidi kuliko kulinda haki za raia.
Hivi jambazi anayetaka kupora fedha kutoka mikononi mwa police ana muda wa ku-bargain nao kweli!?
HAO POLICE WAMEONYESHA SELF-DEFENSE YA UOGA.
 
umeonaeee wao wanatumia maguvuu kipindi flani nshawahi kuishi ungalimited arusha yaani kule askari hawakatizagi hovyo mitaani na magwanda
wakipita tuu wanachezea kichapo na mda mwingine ukipeleka mashtaka kwao wanakupotezea
eti deffender halina mafuta
oooh hakuna mtu wa kumuacha kituoni
kwahiyo kamlete mtuhumiwa wako mwenyewe

na hiyo ndo dawa yao manake
na wao ni waonevu saaaaaana
khaaaa

Hiyo komesha aiseee....!
 
Yaani hata mseme nini, hakuna justification ya kumpiga huyo meneja! Hii police brutality katika nchi za wenzetu wangekuwa wamempatia jamaa utajiri wa bure.
Police waliwakuwa na alternative ya kumdhibiti jamaa bila kumpiga bila kujali ni maneno gani alikuwa anawambia kama raia. Nadhani police wetu wanafundishwa kupiga zaidi kuliko kulinda haki za raia.
Hivi jambazi anayetaka kupora fedha kutoka mikononi mwa police ana muda wa ku-bargain nao kweli!?
HAO POLICE WAMEONYESHA SELF-DEFENSE YA UOGA.
Mie nadhani hiyo kesi ni Tamu... Cha ajabu pilice nasikia wamefungua jarada ati walizuiwa kufanya kazi na meneja huyo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom