NEWS;kwa niaba ya Bishanga

The secretary

JF-Expert Member
Jan 14, 2012
4,149
2,536
Tunatangaza kuwepo na pre-birthday party ya tajiri la kihaya kuanzia leo tarehe mosi mwezi wa nane .angalizo hatuhitaji kamati wahudumu wapo wa kutosha.itakuwa inafanyikia Kilimanjaro hotel hadi siku yenyewe ambayo itafanyikia RUSSIA usafiri utakuwepo wa pipa kwa wale wa mikoani.hatuhitaji vijizawadi vyenu chezeiya bepari la kihaya:baby:
 
Wadanganye wa kule jukwaa la utambulisho!
In accordance with specific data currently , behind the fabric huyu Mzee kusakua hoi financially!
Yuko hoi bunkrupt! Meng'emeng'e ! Juu ya stones!
Hana kitu!
Mademu kibao washamkimbia! Kabakiza luba tu!
Nway ze Katibu lon' time no see you!
Where too now?
 
kuna ka shughuli fulani kalinikipu busy.lakini me nipo here here without noise watu wanachonga kwa baby wangu hajafulia wala nini
 
Tunatangaza kuwepo na pre-birthday party ya tajiri la kihaya kuanzia leo tarehe mosi mwezi wa nane .angalizo hatuhitaji kamati wahudumu wapo wa kutosha.itakuwa inafanyikia Kilimanjaro hotel hadi siku yenyewe ambayo itafanyikia RUSSIA usafiri utakuwepo wa pipa kwa wale wa mikoani.hatuhitaji vijizawadi vyenu chezeiya bepari la kihaya:baby:
nikupendeje?
ewe wangu ili ujue nakupenda,
mawazo yangu,
kila siku,
juu yako......
(source: jina la bendi nimesahau)
hii ni spesho dedication kwako TS.
 
Back
Top Bottom