News from tcu.........

Hawa jamaa....aisee basi nafsi inanizuia kusema,da kweli ths is tz
 
haki ya nani hii nchi ni nowma, ngoja HESLB waje na lao mbona tutakoma
 
Hakuna namna hapa zaidi ya kuvumilia tu. Muendelee kuvuta subira wadau,hata iweje watatoa tu japo wanaonyesha kuchelewa.
 
Da hapa nilipo nahisi kuzirai chuo tunawasili tarehe 14 september mfukoni sina hata sumni jamani wadau naomba mnidhamini mkopo ukitoka ntarudisha najua nitapata tu mkopo kwani kozi niliyo omba ina priority , huuuuuuuuuuuiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Nenda chuo kasome..,najua ni SAUT hiyo. Wahi fasta mambo mengine yote mbele ya safari.
 
Tufunge nakuomba hawa jamaa haishangazi wakasema kuna available chance za kurudia mtihani kwa waliopata IV ahaaa! Ui this is tz ina maana Walichagua watu ktk fucult ambazo hawakuchagua wakakosa watu ktk hii fucult au muda wote walikuwa wapi? Tangu deadline ya 2nd round?
 
AVAILABLE SLOTS IN MUHAS PLEASE CHECK. TCU Website
Wangepuguza minimum admission points (now is 7 points). Naamini wengi ambao wangependa kusoma kozi hiyo hawafikishi points zinazohitajika ingawa naamini kwa ufaulu wao bado wanaweza kusoma kozi hiyo.
 
Ndugu zangu wa saut,ruco etc!wanaofungua vyuo before october subira ya bwana iwe juu yenu,toka mwanzo nasema hawa tcu wana utani na ndoto za watu,mwanzo walinipiga mi "not eligible" wakati nina sifa,nikaenda badili kozi nlokua naipenda,at the end of the day niko adimited kwenye kozi nisiyo ipenda!sasa kwa mwendo huu naona kuna watu watashindwa kujiregister saut hadi deadline kisa mkopo na ushenzi wa tcu,POLENI
 
Back
Top Bottom