News Alert:Watu wanane wakamatwa na vifaa vya kulipulia mabomu kanisani Bukoba

Acha kufikiri ujinga na kupandikiza chuki... habari haijitoshelezi bado unasambaza uovu ulioujaza moyoni mwako!

Anafikiri ujinga? Siku zote Ponda na genge lake walipokua wanachochea chuki za udini na utengano ulidhani mwisho wake ni nini?!
 
KANISA katoliki ni kama mvua huwezi zuia mvua.Vatican/katoliki wako vizuri kiulinzi,intelijensia na umafia.
Hao wajinga na milipuko yao wameingia choo cha kike.
 
Kwani bara kuna uamsho.. Au ndio yule mzee wa kupinga sensa kaanza rasmi mambo yake!?
Eeh mungu tuepushie mbali
 
Haya makanisa ndiyo yalianzisha mauwaji ya kimbari Rwanda.

Lasting 100 days, the Rwanda genocide left approximately 800000 Tutsis and Hutu ... The killings began in Rwanda's capital city of Kigali. ... on April 15-16, 1994 at the Nyarubuye Roman Catholic Church, located about 60 miles east of Kigali.

Source: Rwanda Genocide - A Short History of the Rwanda Genocide

Wonders shall never end. Yaani tunashabikia hata ujinga sasa!!!
 
Kwani bara kuna uamsho.. Au ndio yule mzee wa kupinga sensa kaanza rasmi mambo yake!?
Eeh mungu tuepushie mbali

Kuna eneo moja Bukoba panaitwa Katoro, hapo ukikatisha unakula chochote mwezi mtukufu wa Ramadhani jiandae kupigwa bakora na hao 'uamsho'pale ni kama Jalalabad!
 
Update:
zinasemaje kutoka kwa hao magaidi?

Hii kitu bado ni siri kubwa,hata polisi hawalizungumzii kinagaubaga,ila taarifa za awali ni kwamba kuna kikundi cha waislamu kinahusika moja kwa moja na suala hili.Wasiwasi mkubwa unaojitokeza ni kwamba,wakati wa misa hiyo baadhi ya viongozi wakuu wa kiislamu walialikwa pia kanisani,pengine kama shambulio lingefanikiwa hakuna ambaye angebakia.
 
Mbona habari inatolewa kiudaku udaku tu?Hebu wekeni habari yote jamvini tujue hasa sababu za kupelekea tukio hilo!
 
Back
Top Bottom