News Alert:Watu wanane wakamatwa na vifaa vya kulipulia mabomu kanisani Bukoba

mayenga

JF-Expert Member
Sep 6, 2009
4,118
1,966
Taarifa nilizozipata kutoka Bukoba ni kwamba,watu wanane wamekamatwa wakiwa nje ya kanisa katoliki mjini Bukoba wakiwa na vifaa ambavyo uchunguzi wa awali ulionesha kuwa ni vya mlipuko.Katika kanisa hilo ndipo misa ya shukrani iliyohudhuriwa pia na Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda,ilifanyika katika kanisa la Cathedral ambapo ndipo mwili wa Cardinal Rugambwa ulizikwa rasmi jumamosi.Watu hao wameshikiliwa kituo cha polisi kwa uchunguzi na mahojiano zaidi.
 
mkuu ukipata taarifa za kina na uhakika zaidi utuletee tupate kufahamu vzr.
 
Utaendelea kutujuza Mkuu kwa jinsi utakavyozidi kupata habari, vifaa vya milipuko kwenye nyumba za Ibada?
 
Kikwete huyo na harakati zake za udini, tumenyamaza kwa muda mrefu sana, kama polisi wakishindwa tutajilinda wenyewe , wasituzingue kabisa
 
Je, ni wasomali au? Kama ni al shabab kudadadeki naomba Kikwete aniite nije kuwalipua mwenyewe. TZ japo tuna ujinga ila nina uchungu na nchi yangu na sitaki kamwe a foreigner aje kututawala ili tukose amani nchini kwetu. Nataka nijuwe kama ni wageni nije kuwashughulikia mwenyewe. Nina kila aina ya silaha toka sindano, viwembe, kisu, shoka, panga, nondo, mchi wa kutwangia, n.k., nasubiri mwaliko tu.
 
Haya makanisa ndiyo yalianzisha mauwaji ya kimbari Rwanda.

Lasting 100 days, the Rwanda genocide left approximately 800000 Tutsis and Hutu ... The killings began in Rwanda's capital city of Kigali. ... on April 15-16, 1994 at the Nyarubuye Roman Catholic Church, located about 60 miles east of Kigali.

Source: Rwanda Genocide - A Short History of the Rwanda Genocide
 
Kikwete ndiye kwanza alikuwa aende kwenye hiyo shuhuri, ikawaje akakacha na kumpeleka Pinda? Was it a set up!!
 
Kikwete huyo na harakati zake za udini, tumenyamaza kwa muda mrefu sana, kama polisi wakishindwa tutajilinda wenyewe , wasituzingue kabisa

Acha kufikiri ujinga na kupandikiza chuki... habari haijitoshelezi bado unasambaza uovu ulioujaza moyoni mwako!
 
Kikwete huyo na harakati zake za udini, tumenyamaza kwa muda mrefu sana, kama polisi wakishindwa tutajilinda wenyewe , wasituzingue kabisa

Ndugu yangu you are so funny i cannot even laugh.
hebu soma hiyo nyuzi vizuri halafu ndiyo uwe emotional.
 
:A S-key:
Haya makanisa ndiyo yalianzisha mauwaji ya kimbari Rwanda.

Lasting 100 days, the Rwanda genocide left approximately 800000 Tutsis and Hutu ... The killings began in Rwanda's capital city of Kigali. ... on April 15-16, 1994 at the Nyarubuye Roman Catholic Church, located about 60 miles east of Kigali.

Source: Rwanda Genocide - A Short History of the Rwanda Genocide

zomba, ama hukumaanisha ulichoondika au hujui historia ya Rwanda, au umeamua tu kupotosha. Rwanda genocide ilitokana na ukabila, hasa makabila mawili Tusi vs Hutu. Katika harakati za kujiokoa wapo watu waliokimbilia sehemu mbalimbali kujificha, wengine waliingia kanisani, wengine kwenye hotels (including za kitalii) na wengine kwa jirani ambaye ni wa kabila tofauti (kwa wale moderates).

Post yako inasomeka kama makanisa ndiyo yalipanga genocide! Hii si sahihi and it is unhelpful post to say the least.

Pili, sina hakika ni kwa kiasi gani umefuatilia historia ya Rwanda. Mapigano and later mauaji ya 1994 si ya kwanza ila haya ya 1994 yalikuwa extreme na kuangukia kwenye defination ya genocide. Paul Kagame mwenyewe ni muhanga wa mapigano ya kikabila, akiwa mtoto mdogo mama yake alimbeba mgongoni kukimbia machafuko, hiyo ilikuwa ni late 1950s (akiwa around 3-5yrs old).

Na ukirudi nyuma zaidi utakuta chuki kati ya haya makabila ilipaliliwa na utawala wa kikoloni (Belgium) na baadaye France nayo ikaleta sera zake za kinafiki hadi kufikia hatua ya kumnunulia ndege rais (sasa marehemu). :focus:
 
Uchunguzi unaendelea,none to be associated with the incident yet!
 
:A S-key:

zomba, ama hukumaanisha ulichoondika au hujui historia ya Rwanda, au umeamua tu kupotosha. Rwanda genocide ilitokana na ukabila, hasa makabila mawili Tusi vs Hutu. Katika harakati za kujiokoa wapo watu waliokimbilia sehemu mbalimbali kujificha, wengine waliingia kanisani, wengine kwenye hotels (including za kitalii) na wengine kwa jirani ambaye ni wa kabila tofauti (kwa wale morerates).

Post yako inasomeka kama makanisa ndiyo yalipanga genocide! Hii si sahihi and it is unhelpful post to say the least.

Pili, sina hakika ni kwa kiasi gani umefuatilia historia ya Rwanda. Mapigano and later mauaji ya 1994 si ya kwanza ila haya ya 1994 yalikuwa extreme na kuangukia kwenye defination ya genocide. Paul Kagame mwenyewe ni muhanga wa mapigano ya kikabila, akiwa mtoto mdogo mama yake alimbeba mgongoni kukimbia machafuko, hiyo ilikuwa ni late 1950s (akiwa around 3-5yrs old).

Na ukirudi nyuma zaidi utakuta chuki kati ya haya makabila ilipaliliwa na utawala wa kikoloni (Belgium) na baadaye France nayo ikaleta sera zake za kinafiki hadi kufikia hatua ya kumnunulia ndege rais (sasa marehemu). :focus:

Thats the fact you have written - issue ni kuwa wengi hawajui - watembelee Kigali - kwenye makumbusho ya genocide waelimike.

Again congratulations for MAKING IT CLEAR
 
Back
Top Bottom