Swali. Zimetoka kwenye fungu gani? Au ni mafisadi wametoa walizoiba na kuwapelekea jamaa zetu Zimbabwe. Inachekesha sana wakati wazee wa EAC, waalimu na wengine wana madai mengi tu serikali inasema haina hela. huku mabulungutu yakipelekwa Zimbabwe. Sijui kuna interest gani huko. Mwanakijiji ukiweza chimba tupate motive ya kupeleka hizo hela, labda kuna ajaneda ya siri.
...acha wewe,yaani hizo dola elfu sabini tuu kusaidia maskini wenye shida unalalamika kama umeibiwa vil;e,kumbe ni kimsaada kadogo tuu...ajenda gani ya siri kwa pesa ndogo kama hiyo!