NEWS ALERT: Mwakalebela Kupandishwa tena Kizimbani.

kookolikoo

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
2,750
594
Ni baada ya rufaa yake kutupiliwa mbali na mahakama kuu Iringa leo hii. kwenye rufaa hiyo namba 13/2010 wakili wa Makalebela alikuwa akidai kuwa hati ya mashtaka haitengenezi kosa la jinai. hii ni kwenye rufaa
aliyokata kupinga kushtakiwa kwake na takukuru
 
Izi habari nusu zakela
Ivi ukiandika full details what do u loose?
Rufaa ipi iliyotupiliwa mbali?
 
Mwakalebela ndio nani? David au Fredrick, au yule aliyevuna pesa TFF harafu akaenda Iringa kugombea ubunge?
 
...Ngoja kwanza...ngoja...
Ni Yule Full back wa Pamba FC David Mwakalebela....
au Fredrk Mwakalebela....?
Im not around
 
Back
Top Bottom