Field Marshall Es,
Mkuu mimi ktk swala hili nasimama upande mwingine kabisaaaa kwa sababu moja kubwa.. Mashga ni waziri wa mambo ya ndani.. wizara ambayo inashughulika na kesi hizi kwa Upande wa mashtaka, hiyo hapa Urafiki na Ushikaji mkuu hauwezi kabisa kuingilia na kazi yako.Kama amekwenda kuwaona watuhumiwa kikazi hiyo haina taabu kabisa lakini kama amekwenda kiushikaji kama binadamu wengine mkuu haiendi hivyo..kwa sababu kazi yako inasimama mbele ya urafiki kutokana na kiapo cha madaraka uliyokabidhiwa..Who knows kitu gani aliwaahidi kama washikaji wake kutokana na madfaraka aliyokabidhiwa..Marehemu Ditopile alikuwa mshikaji wake wa damu rais wetu Kikwete, hatukusikia hata siku moja Kikwete kenda Magereza kumtembelea rafiki yake akavua Urais, na kuwa kama binadamu wengine..Mkuu, hapa jamaa kachemsha!