NEWS ALERT: Mahakama kuu kitengo cha kazi yakionya Chama cha Madaktari.

kookolikoo

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
2,751
595
yamtaka rais wake kutangaza kupitia vyombo vya habari kuheshimu amri iliyotolewa na mahakama hiyo ijumaa iliyopita.

CHANZO: TBC 1
 
Sasa atatangazaje wakati yuko ICU?, hii mahakama hiii ijiangalie.
 
mahakama dhaifu sana hii...ndo shida ya kuchagua ma jaji kwa kuangalie vigezo vya ki social zaidi na mambo yetu yale ya naniliiiii...
 
Back
Top Bottom