News alert!!!! Hatimaye mkuu wa chuo cha mkwawa iringa na wasaidizi wang'oka

Nasikitika sana kwa kuwa wamemsahau dr kita. Afu maprofesa wa TZ badala ya kuwa magreat thinker wenyewe wamespecializi kuiba kidogo cha watoto wa wakulima, ila mwisho wao umekaribia
 
Back
Top Bottom