Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo majina mbona yanafanana na wapigaji wa KASKAZINI? Halafu ndo tuwape nchi???!!!!
Amandina Lihamba kapewa ulaji? Mwe Tufwile
Ikerege je, bado?
Kwani hao uliowapa nchi hakuna wa kaskazini?Hayo majina mbona yanafanana na wapigaji wa KASKAZINI? Halafu ndo tuwape nchi???!!!!
tumejiandaa kufanya sherehe kubwa hapa chuoni...oyoooooo, nakuchuki pr. Mushi kama nnavyomchukia EL.
Uongozi wa DUCE pia umeondolewa. So yawezekana Kikwete kaamua kuwa serious na wabadhirifu wa mali za umma. Na hope atafanya hivyo hivyo kwa halmashauri zote zilizopatikana na hatia. Lakini cha kujiuliza, ni kwanini hakuanza tangu mwanzo? Anakuja kuanza leo?
Katika hili sio kikwete bali Mukandala. Tarifa za kuaminika zinasema Prof. Mkandala alisitisha mchakato wa uteuzi wa wakuu hawa baada ya kamati ya Zito kubaini madudu. Hivyo kuondolewa kwao na matamshi ya JK ni coincidence tu. Hii inathibitishwa na ukweli kuwa mpaka sasa JK hajachukua hatuo yoyote dhidi ya watendaji na pia Waziri wake anayehusika na elimu hakumbadilisha kitengo achilia mbali kumpiga chini.
Anaye nisikitisha ni Pro. Mrema, niliwahi kufanya kazi na huyu bwana miaka ya nyuma. He was very accountable and ethical
solidarity 4ever.Nyambafu zao
Wakifungwa ndipo nitaamini kua kweli wameshugulikiwa. Hawa watu siyo wema kabisa:
1. Prof Mushi
2. Prof Machiwa
3. Prof Mrema
4. Fransis Kiama
umemsahau Ekerege,Ngeleja, mkulo, maige , chenge, wote hawa nao ni wa kaskazini mkuu
Wakifungwa ndipo nitaamini kua kweli wameshugulikiwa. Hawa watu siyo wema kabisa:
1. Prof Mushi
2. Prof Machiwa
3. Prof Mrema
4. Fransis Kiama
Hayo majina mbona yanafanana na wapigaji wa KASKAZINI? Halafu ndo tuwape nchi???!!!!
cjaona mpumbavu na mbaguz kama wewe. Unafikiria kwa kutumia mk... Wako. Idiot, watu wachache ndo u generalize
huna akili, unafikiria kwa kutumia tigo yako. Idiot, watu wa kazkasin wanahuka vp. Watu wa chache ndo ugeneralize. Mbaguzi mkubwa we