News alert!!!! Hatimaye mkuu wa chuo cha mkwawa iringa na wasaidizi wang'oka

Feb 3, 2012
77
48
Habari za uhakika kabisa ni kwamba Mkuu wa chuo cha mkwawa iringa amepewa barua ya kukabidhi ofisi ifikapo Jumatatu asubuhi sambamba na wasaidizi wake 2! Na hii inatokana na tuhuma nzito za matumizi na usimamizi mbovu wa mali za chuo hiko ikiwa ni pamoja na wizi wa pesa za mikopo kwa wanafunzi kutoka LOAN Board zinazomgusa moja kwa moja mkuu huyo! Tayari PCCB imewahoji kwa kirefu watuhumiwa wote wa wizi huo! Na hii inaashiria hatua moja ya kuwafikisha mahakamani wahusika wotze!
Source! Mtu wa ndani katika chombo cha maamuzi mkwawa.
 
Wakifungwa ndipo nitaamini kua kweli wameshugulikiwa. Hawa watu siyo wema kabisa:
1. Prof Mushi
2. Prof Machiwa
3. Prof Mrema
4. Fransis Kiama
 
Hayo majina mbona yanafanana na wapigaji wa KASKAZINI? Halafu ndo tuwape nchi???!!!!
 
Ah,,,labda kukabidh ofis,lakin hili la TAKUKURU wala silitilii maanani,TAASIS YA KUKUZA NA KUPAMBA RUSHWA
Habari za uhakika kabisa ni kwamba Mkuu wa chuo cha mkwawa iringa amepewa barua ya kukabidhi ofisi ifikapo Jumatatu asubuhi sambamba na wasaidizi wake 2! Na hii inatokana na tuhuma nzito za matumizi na usimamizi mbovu wa mali za chuo hiko ikiwa ni pamoja na wizi wa pesa za mikopo kwa wanafunzi kutoka LOAN Board zinazomgusa moja kwa moja mkuu huyo! Tayari PCCB imewahoji kwa kirefu watuhumiwa wote wa wizi huo! Na hii inaashiria hatua moja ya kuwafikisha mahakamani wahusika wotze!
Source! Mtu wa ndani katika chombo cha maamuzi mkwawa.
 
Uongozi wa DUCE pia umeondolewa. So yawezekana Kikwete kaamua kuwa serious na wabadhirifu wa mali za umma. Na hope atafanya hivyo hivyo kwa halmashauri zote zilizopatikana na hatia. Lakini cha kujiuliza, ni kwanini hakuanza tangu mwanzo? Anakuja kuanza leo?
 
Cha ajabu zaidi ni kwamba Mke wa waziri mmoja katika wizara nyeti amepewa shavu la kuiongoza taasisi hii ya Umma! Wapigaji hawawezi kuisha hata siku moja nchi hii mpaka mawaziri waingie jela kwa kifungo cha muda mrefu!
 
Makubwa! Kumbe Prof Amandina Lihamba ni mke wa waziri? Haya nakaa kimya.
 
Hayo majina mbona yanafanana na wapigaji wa KASKAZINI? Halafu ndo tuwape nchi???!!!!
Unaumwe wewe. Kina maranda ni wa kaskazini? Tabia ya mtu haijalishi kabila lake. Yawezekana hata wewe katika eneo lako ni fisadi wa kutupwa haijafika siku tu... Hao mlowakabidhi nchi kwa miaka 50 wametufikisha wapi?? Think Loud...
 
mshawai ona mwenye hela akifungwa?hata hawa hakuna atakayefungwa-watasumbuliwa kwa muda tu then watakuwa freemen-hakuna chombo chenye guts za kuweza kudeal na watu wenye hela nchi hii
 
Back
Top Bottom