Sidhani Kama amesinzia anawaza Pipa Jumatatu na Mengi yanayomkabili kwa hivi Sasa.Nafikiri Sasa hivi unauelewa msemo wa mwasisi kwamba huko si kwa kukimbilia.
Nalubaliana nawe mkuu,
mwl Nyerere alisema ikulu ni mzigo,mtu mwenye akili timamu hawezi kupangimbilia.Kikwete amekua na mawazo mengi sana kipindi hiki,ni kweli nafsi inamsuta,unajua hakuna kitu kibaya kama kusutwa na nafsi yako.Je alipokua anakimbilia ikulu na vihela vyake,alidhamilia kumsaidia mlala hoi au mabepari akina Karamangi na wenzake?