News alert:another updates from heslb.

wana jf chamsingi tuwe na subira tu hadi cku ambayo kitu kitaachiliwa na kama ipo, ipo tu, na kama haipo haipo tu! mana naona cku znavyozd kwenda wanaibuka manabii wa uongo! Mi nawachukulia poa2
 
kama wewe umechaguliwa kwenye chuo au program ambayo hukuichagua kabisa kwenye zile 8 ulizoomba,na vile vile kama umechaguliwa kwenye 2nd round of application no matter uwe unasoma program zenye priority or non priority,anza kuandaa ada yako mapema tu coz mkopo haukuhusu kabisa{kwa kifupi mkopo ni kwa watu waliochaguliwa kwenye 1st round of application kwenye moja ya zile program zao 8 walizoziomba}kwa maelezo zaidi,unaweza kunipata kwenye number 0688528887.asanten

bana mkubwa if pocble naomba uniangalizie jina langu kama nimepata huo mkopo maana chuo kimefungua na cna mwelekeo
 
Back
Top Bottom