News alert:Ama kweli CHADEMA inawanyima usingizi CCM

PAMBANA

Member
Oct 21, 2010
73
21
CCM hapa Kimara mwisho wana kamkutano nasema kamkutano kwa sababu nilipita na kuangalia idadi ya watu waliopo hapo hawafiki hata 50,aliyekuwa anahutubia alikuwa m/kiti wa wilaya ya Kinondoni na ktk mazungumzo yake alikuwa anawazungumzia chama kikuu cha upinzani yaani ama kweli mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe.Kisha alisimama kijana mmoja aliyesema kuwa ni mwanasheria akijaribu kuwaita vijana wasogee kusikiliza lakini wengine waliendelea na shughuli zao,nilikuwa nimesimama na vijana wa kimasai kama wanne hivi nikasikia wakicheka na wakisema "utamdanganya nani",kazi wanayo maana inaonekana wameanza kuifanyia kazi kauli ya Mh.Sumaye maana nimesoma humu kuwa kuna kikao kingine kinaendelea huko Tegeta.

Nawasilisha.

CHADEMA MWENDO MDUNDO NA LAZIMA WAKIMBIZWE MPAKA WASHANGAE MAANA WANANCHI WANAELEWA KINACHOENDELEA.
 
wanajua CCM kuwa waliiba kura na hawapendwi ndo maana wanatapatapa tu ....warudie ile kampeni yao ya shuka kwa shuka na kukaa kwenye majani kukumbatia wapiga kura ...hahahaa..subiri siku CHADEMA wataitisha maandamano dar es salaam uone dar itakavosimama kwa masaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom