new vehicle tax structure

julisa

JF-Expert Member
Dec 15, 2011
209
49
Wanajf naomba kujuzwa structure mpya ya kodi ya imported vehicle km ilivyopendekezwa na serikali kuanzia july 2012. Ktk website ya tra bado structure ya zamani inaonekana yenye kuelezea uchakavu unaanzia 10yrs
 
substitute 10yrs with 8yrs
 
Ok asanteni lkn ile ya zamani depreciation ya 10yrs ilikua 70% na 8yrs ilikua 50%. Kwa hiyo hii mpya basi inamaanisha gari la 8yrs kina 50% depreciation na ndo halina uchakavu?
 
Back
Top Bottom