New university to open in Sept

nakijua hiki chuo in and out sijui kama wamejitoshelea kihivyo maana pale sioni hostels ila wana eneo kubwa wacha ndugu yangu ni mahekari na pia ili wanafunzi wafike pale hakuna daladala za huko ,je usafiri wawanafunzi itakuaje JE WANA MAGARI YA CHUO? ndugu NYALOTS hawana teaching theatre wana madarasa kama yale ya CBE pale,nafikiri wanajijenga zaidi thats why intake yao ni ndogo.LET HOPE FOR THE BEST,

hawa wakorea ni watu waajabu sana na ni wakwepa kodi wakubwa kila wanachokianzisha kinapitia kanisani sijui maana yake nini,pale kigamboni kuna shule kubwa tu ya watoto inaitwa GRACE NURSERY & DISPENSARY iko chini ya Efatha Presbyterian church very expensive.naniza wakorea ,sijafunguka kuh hawa watu sana ila its like cheating cheating
 
nakijua hiki chuo in and out sijui kama wamejitoshelea kihivyo maana pale sioni hostels ila wana eneo kubwa wacha ndugu yangu ni mahekari na pia ili wanafunzi wafike pale hakuna daladala za huko ,je usafiri wawanafunzi itakuaje JE WANA MAGARI YA CHUO? ndugu NYALOTS hawana teaching theatre wana madarasa kama yale ya CBE pale,nafikiri wanajijenga zaidi thats why intake yao ni ndogo.LET HOPE FOR THE BEST,hawa wakorea ni watu waajabu sana na ni wakwepa kodi wakubwa kila wanachokianzisha kinapitia kanisani sijui maana yake nini,pale kigamboni kuna shule kubwa tu ya watoto inaitwa GRACE NURSERY & DISPENSARY iko chini ya Efatha Presbyterian church very expensive.naniza wakorea ,sijafunguka kuh hawa watu sana ila its like cheating cheating
nivea, huna sababu ya kujiuliza sijui ni kwanini huwa wanapitia mgongo wa kanisa.....jibu umeshatanguliza b4 kwamba hiyo ni janja yao tu ya kukwepa kodi!! Kwanza watu wa far east na yesu, wapi na wapi!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom