new thread

:crutch::smash:wese la kidumu mpnz manake modem ndo hivyo na tanzagiza nao tena. solar power imegoma,nafikiria kuwekeza kwenye upepo manake nadhani paa litanyofoka leo! hii nchi kama mgonjwa wa kufa,kha!:ballchain:
Heheheee! Asavali umekuja Bishanga alisema eti kawanunia. Anzisha basi nawe thread ya upako watu tubarikiwe!
 
Lizzy,MJ1,Ashadii,Husniyo,Aspirin,Pdiddy,Woman of substance,AD,SL,BB,Dena ,Nyamayao,King'asti,DC na vingunge wengine wa mmu embu rusheni nyuzi mpya hapa mmu,acheni uvivu bana!!!!!.
ps: niko standby kwenye keyboard nasubiri ku post comments zangu.

Uzi wenyewe si ndo huu bana wewe Bishanga,

Umetatizwa na nini iwe mushaija????!!
 
Waungwana samahani mnapotumia ufupisho huu "MMU" mnamaanisha kitu gani?

Naomba kuelimishwa.
 
Kizazi cha dot com.......... kitukuu changu hicho... kilast born Cha Afrodenzi alichojifungua akiwa na miaka 14.

Nadhani watu wengi huwa wanakosea kiswahili.
Mpangilio uko hivi:

1. Babu/Bibi
2. Baba/Mama
3. Mwana
4. Mjukuu
5. Kijukuu
6. Kitukuu
7. Kilembwe
8. Kining'ina

Mkuu kwa mpangilio huo hapo juu, sidhani kama mtoto (kabla ya umri) wa Ad atakuwa kitukuu chako.
 
Nadhani watu wengi huwa wanakosea kiswahili.
Mpangilio uko hivi:

1. Babu/Bibi
2. Baba/Mama
3. Mwana
4. Mjukuu
5. Kijukuu
6. Kitukuu
7. Kilembwe
8. Kining'ina

Mkuu kwa mpangilio huo hapo juu, sidhani kama mtoto (kabla ya umri) wa Ad atakuwa kitukuu chako.
Kama AfroD ni kijukuu changu, mwanae ntamwitaje? Au hujui umri wa Afro kwa sasa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom